Fahamu alipo malaika aliyepewa jukumu la kulinda bustani ya Edeni

bustani ya edeni ni wapi kwa dunia ya sasa,? alafu kama bustani ya edeni iliharibiwa na gharika, vipi mti wa uzima wa milele nao uliharibiwa, maana malaika waliwekwa kulinda njia iendayo kwenye mti wa uzima wa milele nao uliharibiwa?
 
Bible ina contradict mambo dah..
Hivi ...Eden ... Peponi ..mbinguni ..ni sehemu tofauti??
 
Siri ya mtungi aijuaye kata, siri za Mungu wazijua malaika wake, wewe umezitoa wapi ndugu? Au we mwenzetu ni jasusi la kiulimwengu!
 
Hivi hizi habari mmezipata wapi? Nani alikuwepo wakati haya yanatokea? Hapa hizi haidithi za kusadikika zilizoandikwa waandishi mahiri zimeingia sana akilini mwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…