Mandela5599
Member
- Jul 28, 2020
- 93
- 306
Hizi ni roho ambazo shetani amekua akipandikiza kwa watu wengi wa kizazi cha leo kwa nia ya uharibifu. Spirit of man mwanaume kuvutiwa kimapenzi na mwanaume mwenzie vivyo hivyo kwa upande wa wanawake. Hizi roho zimemwagwa kwa vijana wengi sana kupitia ponography, laana kwenye familia, marafiki na historical background za watu.
Mungu amemuumba mwanaume kwaajili ya mwanamke na mwanamke kwaajili ya mwanaume. Kuwa na hisia tofauti na alizo zifanya Mungu ni roho ambayo imepandikizwa ndani yako kwa njia tofauti tofauti za kiroho bila kwakujua au bila kujua
Nimepata uzoefu sana wa kuona watu wenye changamoto hizi kwa kufwatilia huduma za Nabii T.b Joshua kwa muda mrefu na kuona akifanya delivarence kwa watu wa namna hii. Delivarence kwa watu hawa ilipelekea T.b Joshua kufungiwa channel yake ya YouTube hivi karibuni
Hii roho shetani akifanikiwa kuipandikiza kwako anapata nafasi ya kushambulia mambo mengi sana kwenye maisha yako kama uchumi, afya, uwezo wa kufikiri, na mahusiano mabaya kati yako na watu wengine. Wengi sana wenye hizi spirit wasipo washughulikia kwa wakati, huishia kujiua au mara nyingi sana conclusion yao nikutaka kujiua. Huwezi kufanikiwa kama hii spirit iko ndani yako
Biblia inasema "Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho." You don't need to fight them physically
Kama wewe sio mtu wa kumwomba Mungu unakua kwenye hatari ya kushambuliwa na hizi roho. Tengeneza njia zako na Mungu
Ukipita kwenye mitandao mingi ya kijamii kuna watu wengi sana wanatumika kama satanic agents ku-stimulate hizo spirit kwa vijana. Wengine wanajua na wanapewa assignment ila wengine hutumika bila kujua. Sometimes unaweza kuona ni jambo la kawaida ila haiko hivyo ndugu yangu
Mafanikio yako katika maisha yanaanzia rohoni, shetani ni roho so ili akumalize anashambulia roho yako kwanza. Akifanikiwa rohoni uwe na uhakika hutaweza kufanya kitu kifanikiwe. Note my words.
Usikubali kabisa kuwa part of this distractive things. Kama una tatizo hilo tafuta solution spiritual and you will be free in Jesus Christ name
Be blessed