silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel.
kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango huo, Uengereza ilihamisha maelfu ya wayahudi Palestina, na iliwasaidia kununua ardhi.
Baadae waplestina waliposhtuka ilikua too late, kwani maharamia hao wa kiyahudi walishajizatiti kutwaa ardhi hio na kupelekea umwagaji mkubwa wa damu za Palestina.
Mwaka 1947 Taifa La Israel likaanzishwa rasmi, na mpaka leo limekua mwiba kwa wapalestina , kwani bado linaendelea kupora ardhi yao na kuwatawala kwa mabavu huku wakiwaua kama kuku bila kujali maazimio ya Umoja wa mataifa, wala kujali sheria za kimataifa.