Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

 
 
 
 
Vifungashio vya plastiki vinatumika kama vibebeo, hii si sahihi, maana tatizo litarudi tena pale kama visipodhibitiwa.
 
 
Ni wakati sasa vifungashio vya plastiki nje ya viwanda rasmi vipigwe marufuka, maana vinatumika kama vibebeo, na tunarudi tulikotoka
 
Tunashangaa wazee wanapatwa na dementia na alzaiemer mapema, kumbe sababu ni plastiki.

Imegundulika kuwa sasa maplastiki yanaenda mpaka kwenye ubongo.
 
Matumizi ya vifungashio vya plastiki nje ya viwandani yapigwe marufuku, tunarudi kule kule tulikotoka
 
Back
Top Bottom