FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ajabu sana, tutaona mwisho wake.
Huo mkutano ulikuwa ni zuga tu, na JPM alishasema hataki mawaziri wa michakato, huyu ni anakwenda na maji..!Yule kijana waziri mdogo aliyejifanya anasubiri wadau na machakato wa upembuzi yakinifu yabisi bado atafanya huo mkutano na hao watu wake?
Kwenye majumba yetu ambako kila siku hutumia mifuko hiyo kuwashia moto hali ikoje kama ni kweli hicho ulichokinukuu?2.) Matatizo ya homoni za jinsia (Ushoga na usagaji)
Kemikali ya 'Dioxin' ambayo hupatikana kwenye moshi wa taka za plastiki zilizochomwa, endapo itavutwa kwa njia ya hewa na mtoto mchanga, utafiti umeonyesha kwamba inaweza ikasababisha mfarakano katika mfumo wa homoni za jinsia kwa mtoto huyo.
Mtoto wa kiume anaweza akaja kuanza kuonyesha tabia za mtoto wa kike, na mtoto wa kike anaweza akaanza kuonyesha tabia za mtoto wa kiume hapo baadae, hivyo kupelekea kuongezeka kwa mashoga na wasagaji katika jamii.