Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Hapo mama zetu na dada zetu uswahilini ndiyo ilishageuka mafuta ya taa kwenye kuwasha mkaa. Ila viongozi wa nchi hii sijui wamelaaniwa na nani, mifuko inaingia kutoka Kenya tu hapo, wakati ukienda kununua katika maduka yao unapewa kwenye vifungashio vya karatasi
 
Kenya wanatuuzia hizo takataka lakini wao wamepiga marufuku, sijui ni ujinga wa aina gani huu..!?
 
Sina uhakika sana na nchi ya China juu ya mifuko ya namna hii ila hapa kwetu wazalishaji wakubwa wa mifuko hii ni wachina waliomo humu humu. Sijui sisi wananchi tulishagauzwaaa! Najiulizaga mjinga mimi!
 
Ni hatari mno kuweka vyakula vya moto kwenye mifuko laini ya plastiki, yaani tena hao wanaofunikia wali na mifuko ya plastiki ni wauaji kabisa, lakini lawama zote nazipeleka kwa wizara ya mazingira inayoongozwa na January Maplastiki.
Mkuu.
Naona Serikali imelala bado.
Waziri Makamba mbona hafanyi yampasayo,
Kama mifuko ya plastic inamshinda, tukimpa nchi je?
Waziri wa afya, na waziri wa viwanda walione hili suala.
Mbona VIROBA /Pombe za vifungashio vya plastic waliweza, na leo mitaa haina viroba, hili hawawezi shindwa ila naona maslahi yanatutawala.
Tunaangamia na cancer na mgonjwa lukuki.
 
January Maplastiki tunakuomba uchukue hatua
 
Hoja ni athari zitokanazo na mifuko ya plastic, kupiga marufuku uagizaji mifuko ya plastic toka nje haibadilishi athari zitokanazo na mifuko hiyo, hapo naona kamati ya bunge haijaitendea haki jamii ya watanzania, nilitegemea waje na njia mbadala wa hiyo mifuko
Ni kweli, lakini Tanzania kwa sasa haina uwezo mkubwa wa kiviwanda kuzalisha mifuko hiyo kwa wingi, 90% ya mifuko hii hutoka nje ya nchi, hivyo kuzuia kutasababisha uhaba mkubwa, na viwanda vya mifuko mbadala vitaanzishwa ili kuziba pengo
 
Hiyo namba 2 wakiisikia hao jamaa (mashoga) itakuwa ndio kisingizio chao na watachoma hiyo mifuko kupita maelezo ili watuambukize.

Hapo kwenye namba 3 kumefanya nitangaze vita rasmi na mifuko ya plastiki....shubaaaaamitt!
Makonda aliangalie hili suala kwa jicho la pili, sio kupiga vita tu ushoga bila mipango thabiti ya muda mrefu
 
Hapa kwetu hatuna NEMC wala WIZARA YA MAZINGIRA naona maboya yanauza sura tu. kiingereza tunaita CLUELESS LEADERS
 
Ni kweli, lakini Tanzania kwa sasa haina uwezo mkubwa wa kiviwanda kuzalisha mifuko hiyo kwa wingi, 90% ya mifuko hii hutoka nje ya nchi, hivyo kuzuia kutasababisha uhaba mkubwa, na viwanda vya mifuko mbadala vitaanzishwa ili kuziba pengo
Uhaba ndyo utakaosababisha solution ya haraka ipatikane......yaani mifuko ya plastik ikipigwa marufuku leo, utashangaa baada ya wiki mbili viwanda vya mifuko mbadala itakavyoibuka kwa kasi
 
Exactly my point
 
Back
Top Bottom