FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya wanatuuzia hizo takataka lakini wao wamepiga marufuku, sijui ni ujinga wa aina gani huu..!?Hapo mama zetu na dada zetu uswahilini ndiyo ilishageuka mafuta ya taa kwenye kuwasha mkaa. Ila viongozi wa nchi hii sijui wamelaaniwa na nani, mifuko inaingia kutoka Kenya tu hapo, wakati ukienda kununua katika maduka yao unapewa kwenye vifungashio vya karatasi
Sina uhakika sana na nchi ya China juu ya mifuko ya namna hii ila hapa kwetu wazalishaji wakubwa wa mifuko hii ni wachina waliomo humu humu. Sijui sisi wananchi tulishagauzwaaa! Najiulizaga mjinga mimi!Kenya wanatuuzia hizo takataka lakini wao wamepiga marufuku, sijui ni ujinga wa aina gani huu..!?
Mkuu.Ni hatari mno kuweka vyakula vya moto kwenye mifuko laini ya plastiki, yaani tena hao wanaofunikia wali na mifuko ya plastiki ni wauaji kabisa, lakini lawama zote nazipeleka kwa wizara ya mazingira inayoongozwa na January Maplastiki.
January Maplastiki tunakuomba uchukue hatuaMkuu.
Naona Serikali imelala bado.
Waziri Makamba mbona hafanyi yampasayo,
Kama mifuko ya plastic inamshinda, tukimpa nchi je?
Waziri wa afya, na waziri wa viwanda walione hili suala.
Mbona VIROBA /Pombe za vifungashio vya plastic waliweza, na leo mitaa haina viroba, hili hawawezi shindwa ila naona maslahi yanatutawala.
Tunaangamia na cancer na mgonjwa lukuki.
======================================
UPDATE:
Kamati ya Bunge ya viwanda na biashara yaagiza Serikali kupiga marufuku mifuko ya plastiki kutoka nje ya nchi
Ni kweli, lakini Tanzania kwa sasa haina uwezo mkubwa wa kiviwanda kuzalisha mifuko hiyo kwa wingi, 90% ya mifuko hii hutoka nje ya nchi, hivyo kuzuia kutasababisha uhaba mkubwa, na viwanda vya mifuko mbadala vitaanzishwa ili kuziba pengoHoja ni athari zitokanazo na mifuko ya plastic, kupiga marufuku uagizaji mifuko ya plastic toka nje haibadilishi athari zitokanazo na mifuko hiyo, hapo naona kamati ya bunge haijaitendea haki jamii ya watanzania, nilitegemea waje na njia mbadala wa hiyo mifuko
Makonda aliangalie hili suala kwa jicho la pili, sio kupiga vita tu ushoga bila mipango thabiti ya muda mrefuHiyo namba 2 wakiisikia hao jamaa (mashoga) itakuwa ndio kisingizio chao na watachoma hiyo mifuko kupita maelezo ili watuambukize.
Hapo kwenye namba 3 kumefanya nitangaze vita rasmi na mifuko ya plastiki....shubaaaaamitt!
Uhaba ndyo utakaosababisha solution ya haraka ipatikane......yaani mifuko ya plastik ikipigwa marufuku leo, utashangaa baada ya wiki mbili viwanda vya mifuko mbadala itakavyoibuka kwa kasiNi kweli, lakini Tanzania kwa sasa haina uwezo mkubwa wa kiviwanda kuzalisha mifuko hiyo kwa wingi, 90% ya mifuko hii hutoka nje ya nchi, hivyo kuzuia kutasababisha uhaba mkubwa, na viwanda vya mifuko mbadala vitaanzishwa ili kuziba pengo
Exactly my pointUhaba ndyo utakaosababisha solution ya haraka ipatikane......yaani mifuko ya plastik ikipigwa marufuku leo, utashangaa baada ya wiki mbili viwanda vya mifuko mbadala itakavyoibuka kwa kasi
Watanzania sijui nani ametuloga... Plastics zinasababisha magonjwa mengi lakini bado hatutaki kuachana nazo. Ebu kwanza tufute plastics. Tutakufa