Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Wanasayansi wanasema tani 40 za plastiki zinaingia baharini kila dakika
 
Mifuko ya plastic inaendelea kuagizwa kwa speed kali sana toka kenya, Kenya wao wameshapiga marufuku na mji wao umeanza kupendeza halafu wao wanaendelea kutuletea hizo sumu huku Tz, this is not fair!
 
Duuh hatari, huku karatu mifuko ya plastic

Kuna mother mmoja wa kizungu alikuja kutembelea sehem aise alisikitika sana kuona mifuko ya plastic imezagaa mitaan
 
Back
Top Bottom