Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Unadhani ni kwanini serikali inalifumbia macho suala hili? Rushwa?
Hii kitu serikali ilianza kupigana nayo five years ago!
Viwanda vimeanzisha na wahindi na wachina kutengeneza mifuko ambayo sasa hivi ndiyo tunaitumia badala ya plastic bags!
Lakini bado plastic bags zipo na hii naiona itakwenda kupotea kabisa huko mbele!
Kwani elimu kama hii ni muhimu kwa jamii. Na mtu akijiona yuko at risk kutumia kitu ni lazima atakiacha tu mwenyewe!
Serikali nayo pia iendelee kuweka vikwazo juu ya hili jambo.
 
Hii kitu serikali ilianza kupigana nayo five years ago!
Viwanda vimeanzisha na wahindi na wachina kutengeneza mifuko ambayo sasa hivi ndiyo tunaitumia badala ya plastic bags!
Lakini bado plastic bags zipo na hii naiona itakwenda kupotea kabisa huko mbele!
Kwani elimu kama hii ni muhimu kwa jamii. Na mtu akijiona yuko at risk kutumia kitu ni lazima atakiacha tu mwenyewe!
Serikali nayo pia iendelee kuweka vikwazo juu ya hili jambo.
Ni hatari sana kuleta delaying tactics kwenye afya za watz, mifuko hii ya plastiki tani 73 tu ndio zinazalishwa nchini, tani 1,370 zinatoka Kenya, maana yake ni kwamba TZ imegeuzwa dampo la taka za sumu kwa manufaa ya uchumi wa Kenya, hii haikubaliki!
 
Ni hatari sana kuleta delaying tactics kwenye afya za watz, mifuko hii ya plastiki tani 73 tu ndio zinazalishwa nchini, tani 1,370 zinatoka Kenya, maana yake ni kwamba TZ imegeuzwa dampo la taka za sumu kwa manufaa ya uchumi wa Kenya, hii haikubaliki!
True!
Tutabadilika tu!
There is time for everything under the Sun!
 
Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

TANZANIAN POLICE OFFICER HIRED FRIEND TO GET HIS WIFE PREGNANT, TAKES HIM TO COURT FOR FAILING TO IMPREGNATE HER AFTER 77 TIMES

In Dar-es-Salaam, a Tanzanian Court must decide on a honorable intentions in a case where a man hired his neighbor to get his wife pregnant.

It seems that Darius Makambako 50 with his wife Precious 45, really wanted to have a child, but the renowned doctor had told the couple,the husband was sterile. There was no doubt, the couple was tired of being in a 23 year childless marriage.

So Makambako, a member of the Tanzanian Police Force (Traffic Department), after claiming his wife’s protests, hired his neighbor Evans Mastano, 52, a fellow police officer in the country’s commercial city of Dar-es-Salaam to impregnate his wife.

Since Evans was already married and the father of two beautiful daughters, plus he looked very much like Darius to the boot, the plan seemed good.

Makambako paid Mastano 2,000,000 Tanzanian Shillings for the job and for three evenings a week for the next 10 months in 2016.

Evans tried desperately, a total 77 different times to impregnate his friend’s wife Precious, but failed terribly.

Reports say Precious, a nurse at a private clinic had decided to get a three months vacation leave (March to June 2016) to dedicate her time to sleeping with her husband’s best friend and neighbor in order to have her first child, but the man failed to impregnate her despite the husband leaving them in bed the whole day in most times.

And when Precious failed to get pregnant for 10 months, however, Makambako was not understanding and insisted that Evans have a medical examination, which he did in January 2017.

The doctor’s pronouncement that EvansMastano was also sterile shocked everyoneexcept his (Evan's) wife, who was forced to confess that Evans was not the real father of her two children, but were for his cousin, Edward.

“I was forced to secretly sleep with Edward, his first cousin to have these two children after realizing that my husband could not impregnate me for two years”, Angela told the Dar-es-Salaam Today News.

Now Makamboko is suing Evans for breach of contract in an effort to get his money back, but Evans refuses to give it up because he said he did not guarantee conception, but only that he would give an honest effort.
.

Source: DAR-ES-SALAAM TODAY.
 
16 JANUARY 2017
The East African (Nairobi)
Kenya Pitted Against Rwanda, Tanzania Over Ban on Plastic

00351314:74c306e21dfc0b83d95cb317b14f9461:arc614x376:w285:us1.png
Photo: The Citizen
Plastics bags.
By Allan Olingo
Kenya is headed for a showdown with its regional partners as it seeks to protect jobs in plastic manufacturing, with Rwanda and Tanzania pushing for a ban on plastic bags in the region.

A Bill seeking the ban will be debated in the upcoming East African Legislative Assembly sittings in Kampala.

During the Nairobi sittings in November last year, the EAC Polythene Materials Control Bill, 2016 moved by Rwanda's Patricia Hajabakiga, which was expected to go through its third and fourth reading, was removed from the Order Paper to allow for consultations, after the Kenya Association of Manufacturers raised objections.

Non-biodegradable plastic bags have been cited as a top environmental nuisance across the region, but Kenya is adamant that a total ban will devastate its manufacturing base, with huge job losses expected. Nairobi alone handles 86,000 bags daily.


At the start of this month, Tanzania followed Rwanda in effecting a total ban on plastic bags, which is also expected to hit Kenyan manufacturers hard, as the country has been a major export market.

Before the sitting in Nairobi, EALA said the Bill aimed at providing a legal framework for the preservation of a clean and healthy environment through the prohibition of manufacturing, sale, importation and use of polythene materials.

The EastAfrican understands that Kenya will still oppose the debate in Kampala, as select stakeholders under KAM have been tasked to lobby EALA members to throw it out.

"We held a meeting in November in Nairobi where it was agreed that we lobby EALA members not to pass the Bill if it came up for debate in the Kampala meeting. We are yet to meet with the Kenyan legislators in the regional assembly so as to get a common position," a source told The EastAfrican.

But what will complicate Kenya's appeal is Tanzania's recent ban, with Uganda said to be also considering an amendment to its 2009 law to effect a total ban.In April 2015, Kampala banned the selling, manufacture and importation of lightweight bags but just like Kenya, the country's $9 million plastic recycling industry -- which directly employs over 6,000 people -- protested, leading to its suspension.

The region's parliament had hoped that pushing the debate to January would help build consensus among member countries and defuse the divisions generated by the Bill.

Kenya has offered a counter proposal that would see it introduce adjustments to polythene bags specifications and a special tax by the Treasury that will allow its environmental watchdog -- the National Environment Management Authority -- to manage the waste.

However, Kenya is being accused of stalling the passing and enactment of the law without offering a good counter proposal.

"The frustration we have with Kenya is that its record on regulating polythene has been poor. Its 2007 increase in tax was suspended and has never been implemented.

Since 2011, when the first attempt was made to ban the plastic bags, the country has stalled the initiative; yet we haven't seen any conclusive proposals from Nairobi on this and that's why we are determined to pass it," a member of EALA told The EastAfrican.

However, KAM chief executive officer Phyllis Wakiaga said that while Kenyan manufacturers are committed to proper waste management, the enactment of the law will deal a big blow to the sector, which employs more than 30,000 people.

"It won't augur well for local industries. We need to understand that in the past few years, we have seen a slowdown in growth in this sector due to excise duty and imports," said Ms Wakiaga.

Data from the Kenya National Bureau of Statistics shows that there are more than 30 plastic manufacturing units in the country with annual sales worth $406.35 million. In the last quarter of last year, Kenya exported plastic products worth $9.52 million, with a majority of them going to Tanzania and Uganda.

In August last year, Tanzania's Deputy Minister for Environment Affairs Luhaga Mpina said the ban would exempt plastic bags used in medical services, industrial packaging and in waste management.

In December, Rwandan president Paul Kagame rejected pleas by plastic manufactures to lift the 2006 ban on their products. He said his government would examine ways of supporting the country's packaging industry.
Kenya Pitted Against Rwanda, Tanzania Over Ban on Plastic
 
Naomba na mimi leo niseme kidogo.

Mda mfupi uliopita nilikuwa kwenye msiba wa jirani yangu .Kijana wake wa miaka kama 10 hivi alifariki dunia siku kama tatu zilizopita kwa ugojwa wa kansa.

Ghafla kundi la watu kama 20 hivi wanawake kwa wanaume wakafika akiwa wamevaa sare za chama cha MAPINDUZI yaani mashati ya kijani na sketi na suruali nyeusi .

Walipofika sauti za chini kwa chini zikaanza kusikika .Maneno waliyokuwa wakiambiwa si mazuri hata kuyaandika hapa ,kwani kufanya hivyo ni kuzidisha mpasauko uliopo kwenye jamii yetu.

Watu hao walipoona wanashambuliwa kwa maneno nao waliamua kujibu zile kejeli. Amani ikataka kutoweka pale msibani.

Nashukuru watu wenye busara waliingilia kati na kutuliza hiyo hali.

Naomba nitoe wito ,nadhani umefika wakati sasa watanzania tupunguze huu ushabiki wa vyama vya siasa. Tusipobalika huko mbele hali itakuwa mbaya sana. Naiona chuki imejificha katika ushabiki huu wa vyama.

Pili , sioni sababu hasa ya kuvaa sare za vyama kwenye kila tukio. Wakati mwingine sare hizi ni chanzo cha kuwagawa watanzania.

Tabia hii sioni tija yake na iko kwenye vyama vyote ,CCM, CHADEMA, CUF, ACT na vyama vingine.

Nimekuwa nikiwaona watu wakivaa sare za vyama hata kwenye matukio ya kitaifa kama vile ,sikukuu ya uhuru, Muungano ,hata May day niliwaona.


Mimi napendekeza tuwe tunabeba bendera ya taifa kama tuko kwenye matukio yanayojumuisha watu wote. Tuachane na haya manguo ya vyama vyetu hayatuunganishi yapo kutugawa na kutufarakanisha tu.
 
Tumeithibiti Malaria yameibuka magonjwa makubwa na hatari

Miaka ya nyuma kidogo Malaria ilioneka ni ugojwa tishio kwa kusababisha vifo vingi! Baada ya jitihada mbalimbali ikiwemo dawa na utunzaji wa mazingira maambukizi ya Malaria yamepungua kwa kiasi kikubwa!
sasa yameibuka magonjwa makubwa na hatari tena yanaibuka kwa kasi ya ajabu!! Kansa imeleta kilio kikubwa sana kwenye jamii,Sukari magojwa ya figo na ini yanakua kwa kasi sana!
Hali inatisha sana! umaskini unaongezeka, matibabu yake ni gharama sana
Mungu aturehemu
 
Halafu uwa najiuliza kwa mama lishe na baadhi ya migahawa unakuta wamefunika mfuko kwenye sufuria la wali,wengine wameweka ugali kwenye mfuko ya plastik ili isipoe,so najiuliza hii nayo si inaweza kuwa hatari
 
Halafu uwa najiuliza kwa mama lishe na baadhi ya migahawa unakuta wamefunika mfuko kwenye sufuria la wali,wengine wameweka ugali kwenye mfuko ya plastik ili isipoe,so najiuliza hii nayo si inaweza kuwa hatari
Ni hatari mno kuweka vyakula vya moto kwenye mifuko laini ya plastiki, yaani tena hao wanaofunikia wali na mifuko ya plastiki ni wauaji kabisa, lakini lawama zote nazipeleka kwa wizara ya mazingira inayoongozwa na January Maplastiki.
 
Mama Samia Suluhu anaongelea madhara ya mifuko ya plastiki katika kongamano la mazingira Hyatt hotel. Source: Live clouds tv
 
Kigamboni hali ya mifuko ya plastic imekuwa mbaya sana, hasa lile pori linalopakana na kambi ya jeshi, ni aibu! Mifugo kila siku inakufa pale kwa kula mifuko laini wakizani ni chakula..
 
Back
Top Bottom