Mkutano wa tano wa Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira (UNEA-5), unaendelea katika makao makuu ya UNEP jijini Nairobi. Mkutano huo ambao umewaleta pamoja mamia ya wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani, unajadili masuala mbalimbali kama vile marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki na...