1. Usingizi
2. Ndoto
3. Mateso
4. Ridhiki
5. Afya
6. Uhuru
• Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila gafla ukashutuka na ukajikuta uko na (Afya njema kabisa🙏) ukaamka na kwenda kutafuta Ridhiki, unapata nafasi ya kutafuta kwa sababu uko Huru.
Tafakari chukua hatua.............
Kimodomsafi