Fahamu haya machache kuhusu Starboy (Wizkidayo)

Fahamu haya machache kuhusu Starboy (Wizkidayo)

mafanikio kimataifa
Sijakataa kabisa ila Psquare 2010-2016 walikuwa wa moto sana na ndio maana hata MTV waka wapa tuzo.

Unaposema decade manake una include 2010-2020 ktk hiyo miaka 2010-2016 Psquare wali dominate.
 
Sijakataa kabisa ila Psquare 2010-2016 walikuwa wa moto sana na ndio maana hata MTV waka wapa tuzo.

Unaposema decade manake una include 2010-2020 ktk hiyo miaka 2010-2016 Psquare wali dominate.
Hao Nigeria mkuu sio Mm.


Na Ojuelegba ikawa song of Decade.


Akiipiga chini Fall ya Davido
 
Hao Nigeria mkuu sio Mm.


Na Ojuelegba ikawa song of Decade.


Akiipiga chini Fall ya Davido
Unaweza ukawa na Song of the decade lkn haikufanyi kuwa Artists of decade.

Mimi mtizamo wangu unaangalia hasa MTV walivyofanya tafiti zao na nawaamini MTV wapo vizuri kwenye industry ya mziki.

Ila sijui hao wengine wametumia criteria gani.Ila kama uchambuzi wako umebase ktk hiyo source yako kutoka Nigeria basi sawa.
 
Jamaa mi huwaga wala simwelewi wala nini.
 
Oujuelgiba beat kwanza limetulia sana.

Namuelewa tangu kwenye tease me na holla at ur boy.
 
Kwa miaka 10 namsikiliza huyu jamaa wakuitwa Star Boy Wizkidayo

Moja kati ya Wasanii bora wa Afrika ameshafanya makubwa kwenye muziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.

Tuzo, Mziki mzuri, shows za kimataifa, Kutengeneza pesa kupitia muziki nyingi kupitia muziki ni jambo dogo kwa Wizkid.

Aliwahi kulipwa bilion 1 na zaidi kuimba kule India katika harusi ya kifalme..

Kwa International amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa kutokana na uwezo wake mkubwa.

Point ni kwamba Wizkid Ameimba nyimbo nyingi sana.

Lakini sina uhakika kama Wiz kid anaweza kuja kuimba nyimbo kali kuizidi hii OJUELEGBA.

Lyrics, Melody, Beats, sound vilikaa katika mpangilio mkali sana sana...


Moja kati ya nyimbo ilomtambulisha ulimwengu wa muziki kimataifa..


Ojuelegba ilishinda tuzo ya Song of Decade Star Boy pia akiwa Artist of Decade...


Ojuelegba🔥🔥🔥🙌
lakini cha ajabu na kushangaza haswa hajamzidi viewers diamond huko youtube
 
Hamfikii Dogo Fireboy DML,,sema dogolaa hajapata time
 
Back
Top Bottom