Hata mke hawezi kuwa naye huyu
Ampe 071.. Tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mke hawezi kuwa naye huyu
Dollar laki 6 kule India akingia kwenye rekodi ya wasanii waliowahi kufanya show kwa pesa nyingi Ulimwenguni....Nenda Google watakupa ramani kama huamini
Lkn Wiz kid msanii bora kuliko Diamond. Tena mbali tulakini cha ajabu na kushangaza haswa hajamzidi viewers diamond huko youtube
Jamaa anajua bhanaNilichelewa sana kumuelewa (kumkubali) Wizkid, lakini nilipoanza kumkubali sikuwahi kujuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bwana wanafikiri ubora wa msanii unapimwa kwa views za U-Tube. Btw, Diamond ana views nyingi kwavile anaupload vitu vingi U-Tube hadi behind the scenes/shows/birthdays, etclakini cha ajabu na kushangaza haswa hajamzidi viewers diamond huko youtube
We baki na Views za Youtube alafu wenzako wana Album yenye zaidi ya streams million mia2Wabongo bwana wanafikiri ubora wa msanii unapimwa kwa views za U-Tube. Anyway, Diamond ana views nyingi kwavile anaupload vitu vingi U-Tube hadi behind the scenes/shows/birthdays, etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote uliowataja hawaingizi mguu kwa Wiz. Sema sio lazima umueleweWizkid ngoma zake sizielewagi hata kidogo,ila nashangaa watu wanamkubali kishenzi yaan, huyu dogo sijui mchawi
Mi nawakubali Burna boy,paul wa psquare,mtaalam Davido
Nasikiliza ngoma moja tu wiz nayo ni come closer ft drake,napo ile part ya mnyama drake..Wote uliowataja hawaingizi mguu kwa Wiz. Sema sio lazima umuelewe
Lkn sio mbaya ngoja tuheshimu mawazo yako...Nasikiliza ngoma moja tu wiz nayo ni come closer ft drake,napo ile part ya mnyama drake..
Lakini kwa Davido nasikiliza fall,if ft r kelly,blow my mind ft chris bree, n.k
from zero to heroTBT Wizkid form two na bro
View attachment 1419820