hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 149
- Thread starter
-
- #21
Artist of dacade kuanzia 2010-2020 mkuu kwa NigeriaKote ulipoongea upo sahihi,mimi mwenyewe Wizkid kwa sasa kwangu ndiye msanii number 1 Africa ninaye mkubali.
Ila hapa ktk Artists of the Decade ktk tuzo gani ?sababu kwa mujibu wa MTV mama 2015 artists of the decade ni P SQUARE.
Here Are The 2015 MTV Africa Music Awards Winners
Dollar laki 6 kule India akingia kwenye rekodi ya wasanii waliowahi kufanya show kwa pesa nyingi Ulimwenguni....Nenda Google watakupa ramani kama huaminiFafanua, alilipwa bilioni moja, dola za Zimbabwe au za Marekani?
Wizkid mzuri lkn si kwa P-SQUARE 2010-2016 P-SQUARE walikuwa wa moto yaani hit after hit.Artist of dacade kuanzia 2010-2020 mkuu kwa Nigeria
Lkn Wizzy alipata mafanikio kuliko hao PSquare mkuu.Wizkid mzuri lkn si kwa P-SQUARE 2010-2016 P-SQUARE walikuwa wa moto yaani hit after hit.
mafanikio kimataifaWizkid mzuri lkn si kwa P-SQUARE 2010-2016 P-SQUARE walikuwa wa moto yaani hit after hit.
👍Ahsante
Sijakataa kabisa ila Psquare 2010-2016 walikuwa wa moto sana na ndio maana hata MTV waka wapa tuzo.mafanikio kimataifa
Hao Nigeria mkuu sio Mm.Sijakataa kabisa ila Psquare 2010-2016 walikuwa wa moto sana na ndio maana hata MTV waka wapa tuzo.
Unaposema decade manake una include 2010-2020 ktk hiyo miaka 2010-2016 Psquare wali dominate.
Unaweza ukawa na Song of the decade lkn haikufanyi kuwa Artists of decade.Hao Nigeria mkuu sio Mm.
Na Ojuelegba ikawa song of Decade.
Akiipiga chini Fall ya Davido
Sio Kama alikibaJamaa Kipaji alafu yupo serious
lakini cha ajabu na kushangaza haswa hajamzidi viewers diamond huko youtubeKwa miaka 10 namsikiliza huyu jamaa wakuitwa Star Boy Wizkidayo
Moja kati ya Wasanii bora wa Afrika ameshafanya makubwa kwenye muziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.
Tuzo, Mziki mzuri, shows za kimataifa, Kutengeneza pesa kupitia muziki nyingi kupitia muziki ni jambo dogo kwa Wizkid.
Aliwahi kulipwa bilion 1 na zaidi kuimba kule India katika harusi ya kifalme..
Kwa International amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa kutokana na uwezo wake mkubwa.
Point ni kwamba Wizkid Ameimba nyimbo nyingi sana.
Lakini sina uhakika kama Wiz kid anaweza kuja kuimba nyimbo kali kuizidi hii OJUELEGBA.
Lyrics, Melody, Beats, sound vilikaa katika mpangilio mkali sana sana...
Moja kati ya nyimbo ilomtambulisha ulimwengu wa muziki kimataifa..
Ojuelegba ilishinda tuzo ya Song of Decade Star Boy pia akiwa Artist of Decade...
Ojuelegba🔥🔥🔥🙌
Tafuta zako na we uwe lokoloko.Na ana hela mbaya,lakini wala yuko lokoloko tu,ingekua watandale tungekoma.
hahahFafanua, alilipwa bilioni moja, dola za Zimbabwe au za Marekani?