Ninyi ndio wale ambao huwa mnawaonea wivu wale waliowabeba tumboni miezi sita kwa wapenzi wao.Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu
Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu wa kupelekwa hospital na wafungwa pamoja na mahabusu huwa wanatibiwa free of charge katika hospital za Public na hairuhusiwi kwa mfungwa wala mahabusu kutibiwa hospitali za private
Hivyo nawasanua watanzania mnajaza vitambi vya watu kwa hizo jero jero zenu afadhali hata ununulie vocha wanasema zimefika 20million ni kiasi kikubwa halafu hata matumizi hayajaanishwa
Think critically kabla hujaingia katika scammers project huu utapeli ni cheap sana ni suala la reasoning tuu.
Epuka matapeli wa mitandaoni.
Umechangia lakini?Namba zinazo tumika kwa ajili ya miamala umeiona?Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu
Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu wa kupelekwa hospital na wafungwa pamoja na mahabusu huwa wanatibiwa free of charge katika hospital za Public na hairuhusiwi kwa mfungwa wala mahabusu kutibiwa hospitali za private
Hivyo nawasanua watanzania mnajaza vitambi vya watu kwa hizo jero jero zenu afadhali hata ununulie vocha wanasema zimefika 20million ni kiasi kikubwa halafu hata matumizi hayajaanishwa
Think critically kabla hujaingia katika scammers project huu utapeli ni cheap sana ni suala la reasoning tuu.
Epuka matapeli wa mitandaoni.
Tena ikishindikana wamchome Sindano ya uchungu azae tu atulieJitahidi ujifungue mimba ya chuki uliyobeba ya Chadema kabla hujavuka nayo 2026..!!
Pilipili ya shamba.Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu
Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu wa kupelekwa hospital na wafungwa pamoja na mahabusu huwa wanatibiwa free of charge katika hospital za Public na hairuhusiwi kwa mfungwa wala mahabusu kutibiwa hospitali za private
Hivyo nawasanua watanzania mnajaza vitambi vya watu kwa hizo jero jero zenu afadhali hata ununulie vocha wanasema zimefika 20million ni kiasi kikubwa halafu hata matumizi hayajaanishwa
Think critically kabla hujaingia katika scammers project huu utapeli ni cheap sana ni suala la reasoning tuu.
Epuka matapeli wa mitandaoni.
Nafikiri kashajifungua kichanga tayari tumpelekee pampersTena ikishindikana wamchome Sindano ya uchungu azae tu atulie
Kwa mawazo Yako lisu atakaa milele huko jela?Literature zinasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa