Fahamu jinsi content creators wanavyojiingizia kipato

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
843
Reaction score
1,630
Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili.
Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube)

Namna ya pili ni ile ambayo naweza kuita kujiongeza au niite monetization.

A. Kulipwa na platform husika.
Tukianza na hii ya kwanza, platform huwalipa kiasi fulani Content creators ambao wamekidhi vigezo vilivyowekwa na platform hiyo, twende tuchambue vigezo vya platform kadhaa, maja baada ya nyingine.

1. Tiktok
TikTok huwalipa content creators kupitia program ya TikTok Creator Fund.

Kama unataka kulipwa na TikTok kama content creator, unahitaji kufuata vigezo na masharti kadhaa, vifuatavyo ni vigezo vya msingi:

1. Lazima uwe na umri wa angalau miaka 18 na kuendelea

2. Uwe na Followers angalau 10,000.

3. Video zako ziwe zimepata angalau views
100,000 katika siku 30 zilizopita.

4. Akaunti yako iwe ya kawaida (personal) au ya mtaalamu (pro), na si ya biashara.

5. Lazima uwe katika nchi ambazo TikTok Creator Fund inapatikana.

Unaweza Kuongeza Mapato Kupitia TikTok LIVE Gifts
Vigezo.

1. Uwe na wafuasi angalau 1,000.
2. Lazima uwe angalau na miaka 18.

Au unaweza Kutumia TikTok Creator Marketplace (TCM)
TikTok Creator Marketplace ni jukwaa linalowezesha brands kushirikiana na creators moja kwa moja.
Vigezo vyako havipishani na vile vya TikTok Creator Fund

- Kiasi cha malipo

1. TikTok Creator Fund
TikTok inalipa kati ya $0.02 hadi $0.04 kwa kila 1,000 views.

Hii inamaanisha unaweza kupata kati ya $20 hadi $40 kwa views milioni 1.

2. TikTok LIVE Gifts
Unaweza kupokea zawadi za moja kwa moja kutoka kwa Followers wako wakati wa TikTok LIVE.
Zawadi hizi hubadilishwa kuwa "diamonds," na kila diamond 1 inathamani ya $0.005.

Unaweza kutoa malipo baada ya kufikia kima cha chini cha $100.

4. TikTok Creator Marketplace (TCM)
Brands hulipa creators kwa kampeni za matangazo.
Malipo hutegemea ukubwa wa akaunti yako na niche, mara nyingi huanzia $200–$20,000 kwa kampeni moja.

Kumbuka:
Malipo haya hutegemea nchi, aina ya maudhui, niche, na kiwango cha engagement ya akaunti yako.
Jitahidi kuwa na maudhui ya kuvutia na wafuasi waaminifu ili kuongeza mapato yako.

Nimeandika kwa ufupi sana, uliza maswali nitajibu kabla ya kuhamia platform ya pili ambayo ni X.com (formally twitter)

With all due to respect Kijana masikini
 
3. Tanzania ni miongoni mwa hizo nchi ambazo TikTok creator fund inapatikana?
 
Ngoja nikatengeneze
 
Hii ntairudia hii
 
Chalamila ana qualify
 
100k views within one month

Bad enough ticktok Tanzania hailipi sababu paypal haifanyi kazi Tanzania
Ni kweli maana paypal kwa Tz inakubali kupitisha malipo ya kulipia bidhaa online tu ila kutumika kupokelea pesa kutoka nje ya nchi naona hiyo huduma bado atujawekewa
 
Watu wanazo paypal mkuu kupitia line ya safaricom. Sijafuatilia sana lakini kuna watu wanazo
Ni sawa kwa wanoweza kutumia line za 254 kwa kutumia roaming they can unofficially Use paypal in Tanzania

Ila kihalali kabisa paypal bado haijaanza kufanya kazi Tanzania ila mpango wanao
 
Back
Top Bottom