Fahamu jinsi content creators wanavyojiingizia kipato

Nadhani ungesema moja ya njia ambazo content creators wanajiingizia kipato na sio jinsi wanavyojiingizia kipato..., Na nadhani moja ya njia kubwa ni kuwa influencer yaani wewe katika kupiga piga blah blah zako na community yako unaweza kutumia hio community kuwauzia vitu (soft selling au hata hard selling);

Kwahio its all about community (Tengeneza kwanza Community) ndio utajua jinsi ya kuweza kuwauzia hao watu kulingana na nini unachokiongelea na ni nini wanapenda (do's and don'ts)
 
Soma tena nimeelezq njia mbili, hii ndio hiyo nimeiita monetization, na nilisema nitaiongelea hapo baadae
 
Back
Top Bottom