Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Mtu anatumia gharama kununua Tv HD au FHD au 4K halafu ana StarTimes au Azam. Bora uchukue 720 inatosha
4K FHD inafaa kwa waangalia movie na Dstv sana sana mpira.
Yale mapicha wanayoweka kwenye hizo TV madukani huwa wanarekodia na kamera gani?maana ni zaidi ya clear ni angavu mnooo lakini ukiichukua ukaja kuweka kwenye kingamuzi chako sasa!
 
Yale mapicha wanayoweka kwenye hizo TV madukani huwa wanarekodia na kamera gani?maana ni zaidi ya clear ni angavu mnooo lakini ukiichukua ukaja kuweka kwenye kingamuzi chako sasa!
Wanachukua zile zenye full hd.

Hata wewe unaweza download movie yenye full hd then ukaenjoy kwenye tv yako.

Sent from my Nokia 2 using Tapatalk
 
Nimenunua Pinetech Nch 32 nikaunga kwenye Startimes aiseee nilihisi kama nimeibiwa nilichokutana nacho mpaka nilicheka kidogo niirudishe yaani Maruwiruwi kama yote.
Nikaunga DSTV aissee kitu HD safi kabsa.
Startimes ni takataka, ukiachana na ile channel ya Investigation Discovery (ID) channel zingine zote ni uchafu tu.
Yale ma TV ya chogo yalikuwa hayaoneshi madhaifu yeyote ila hizi flat tv kama channel mbovu ni chap unaiona. Mi natumia Azam tv walau vitu ni HD kwa sana.
 
Yale mapicha wanayoweka kwenye hizo TV madukani huwa wanarekodia na kamera gani?maana ni zaidi ya clear ni angavu mnooo lakini ukiichukua ukaja kuweka kwenye kingamuzi chako sasa!
tatizo mnazilisha tv upupu,

hizo tv ukiunga ving'amuzi vyetu unatakiwa uwe unaangalia taarifa ya habari tu,makala,michezo na burudani nyingine weka video special kwa tv hiyo.

kwa kutumia flash.vinginevyo hata mgeni utakuta anaboeka.
 
Hapo halotel 1500/=unalala ukimka movies zimejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…