Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Wadau naombeni kujua, hizi smart TV kwenye matumizi ya internet bundle (mb) inakuaje? Nazo inakuwa na speed zinazotofautiana?
Kama una bundle la mawazo achana nazo. GB 5 au 10 kwa siku kwa kuangalia movie tu ni jambo la kawaida.