Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Kuna point juu hapo uligusia kuhusu deki aina ya Singsung ndio maana nikataka nijue kiongozi maana kwa wazoefu wa hizi electronic device lazima kutakuwa na brand fulani ambazo ziko njema kuliko zingine, just kama ilivyo kwa brands za flat screen
Kama kuna aina zozote unaweza recommend mkuu!Kama unataka HD picha achana na deki zinazotumia Av cable kama hiziView attachment 1194990
Ukienda nunua deki hakikisha deki yako inatumia huu waya wa HDMI ndio wenye picha nzuri
View attachment 1194997
Kuhusu deki gani nzuri hapo ni wewe sasa mkuu ila mimi nimeongelea ubora wa picha tu. Makampuni yapo mengi yanayotoa deki so hapo ni wewe na uchaguzi wako Boss.