Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutuvuruga bana, yaani watu wanagawiwa makande njaa zinauma, unapita na biriani.Nilisahau kusema sasa hivi zimetoka Tvs za 8K zinauzwa, naangalia mpango wa 8K sasa hivi kwani 4K karibu tunaiacha.
Hahaha, nahamasisha.Acha kutuvuruga bana, yaani watu wanagawiwa makande njaa zinauma, unapita na biriani.
Nauliza wapi naweza pata kioo cha TCL 32 smart, TV yangu umevunjika kiooSure uko sahihi mkuu, au mtu ananunua huo m TV halafu anatumia deki ya Singsung kaweka CD ya DJ MURPHY iliyotafsiriwa, bwana weee utapenda hako ka picha kanakotokea.
Unacheza game mkuu?I'm using LG Nanocell Tv (a.k.a Super UHD) inch 55. Nilichukua kwa 2.9 million
Ile siku nanunua nikiangalia ile hela yote nilivyoishikilia mkononi ilivyo nyingi mpaka roho ikaniuma. Ila nikafumba macho!
I like quality things, the Tv is realy beautiful in appearance and the quality is good.
Asante sana mkuuTCL ana share/nunua vioo kwa Samsung. Tafuta dealer yeyote wa Samsung then muombe akutafutie hicho kioo utakipata kwa urahisi.
Ninavyojua ama nilivyokariri Tv nzuri ni brand zifuatazo:
1. Sony
2. LG
3. Samsung
4. Hisense
5. TCL
Naisikia. Ila naona ni adimu/not common kuliko hizo 5Unaacha wapi JVC
Naisikia. Ila naona ni adimu/not common kuliko hizo 5