Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Nina Panasonic smart TV imetumika 6 months tu toleo la 2019 (65 inches) naiuza 1.5 m. Kama mtu atahitaji baishara ifanyike October nikirudi mjini dar.
 
Ukiuza 1m nistue. Nitakupatia Dar
 
Thanks Bro maana niko kwenye mchakato wa kununua TV 📺 you popped in just as a surprise .
 
Hivi kwa bongo TV box unanunua ama unakuwa supplied na provider ? Na ili uendane na kina 4 k unahitaji box lipi?
 
Hisence 43’ 500k
Hisence 43’ Smart Tv 650k
Hizo ni bei za Jumla.

Bei za reja reja

Hisence 43’ 600k
Hisence 43’ Smart Tv 750k
Iv iyo hisense inch 43 nafahamu ni backlight led tv, Je iyo teknolojia ya backlight inahusi nn hasa chief embu nisaidie ktk kujenga uelewa ktk izo hisense inch 43
 
Mimi nilitegemea kukutana na labda kampuni fulani Tv zao ni bora au Singsung pamoja na kuuzwa bei chee lakin zina ubora huu. Sijui nipo chaka mkaa?
Singsung hamna kitu. Baada ya kuda kioo kinaanza kufifia ubora
 
Wakuu kati ya tcl na hisense ipi ni nzuri??

Perimeter

Chief-Mkwawa
Zote ni nzuri ila ww ndio uta amua unataka yenye features gani ( i mean mfuko wako )
Tvs una angalia ubora wa picha e.g LED, UHD 4K, OLED n.k
Ukubwa pia (kuna watu wanavutiwa na tvs kubwa kuanzia inch 43 + ) ukubwa unapoongezeka ndio bei piaa huongezeka

Hii mimi ndio my takes unapotaka kuchagua tvs. Japo na bado kuna. Wachaguzi wana angalia Nature ya tvs yaan kuna watu wao ni smart tu hawataki sikia LED. Coz smart ina vitu vingi Japo kuna wengine wanasema ubora wa picha pia unategemea na king'amuzi utakacho tumia geto kwako coz haiwezekqn ununue 4k tv then unatumia AV decoder ya startimes picha haitakuwa na ubora kama anae tumia decoder ya HD. + Features zingine kama hdmi port, usb port e.g

My take izo hope kuna magwiji wengine wata tupia more details
 
Asante sana mkuu kwa ushauri,,kutokana na salio nilikua nataka led tu
 
Kuna jamaa mmoja aliandika uzi flan humu alichambua vyema swala la 4k na led. Conclusion yake jamaa akasema ata izo 4k kwa kibongo bongo bado coz tvs nyingi hazina matangazo ya HD, so quality ya picha bado haisapoti kupata ule uzuri wa picha ya 4k ila at least kama mtu anatumia visimbusi vinavyotoa picture yenye ubora wa HD kama dstv
 
Back
Top Bottom