Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

mkuu naomba kuuliza, Monitor ya computer inaweza kutumika kama screen ya kawaida kwa kuchomeka flash.ukitumia kifaa gani inaweza kufanya kazi?
JPEG_20201216_212025_8258174208198301775.jpg
 
Mimi nilitegemea kukutana na labda kampuni fulani Tv zao ni bora au Singsung pamoja na kuuzwa bei chee lakin zina ubora huu. Sijui nipo chaka mkaa?

Iko wazi... samsung, Lg ,Sony malizia na wengine...simply buy genuine global brands
 
Back
Top Bottom