Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
mkuu mi nilishindwa kabisa namna ya kuanza na kumalizaHii inawezekana sana sema inataka mda wa kutosha maana ina vikorokoro vingi hadi ikamilike ndo maana wenzetu wanakuwa ni timu kabisa na wengine wanauza au kuomba donation..
Shida ukiwa mwenyewe na huna mda wa kutosha unaweza kuanza kuandaa map wakati game version ipo 1.35 unakuja kumaliza unakuta scs washa update game imefika v1. 40 huko.. Mi niliwahi kujarib nikaachia njiani..
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hamna aliye shindwa ila soon tutadodosha map yetu hapa we subili tuHivi wabongo bado tumeshindwa kutengeneza map zetu, yaan niendeshe roli nitoke iringa niende kigoma..n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hapa umenitamanisha sana NILIPO. hadi ........Aisee goba kaisha...hapa siend 1.37 hadi huu mzgo uishe..😁😁achana na harsh Russia sio kitoto
Kuna tutorial za kutosha online humo..mkuu mi nilishindwa kabisa namna ya kuanza na kumaliza
Sjakuelewa swali lako.. Ila kama unaitaka ukisearch Google tu hilo jina inakuja.. Ni free. Hii inasaidia kwa wale tunaopenda kudownload map unaicheza yote hadi unaridhika then unaenda map ingine maana kicheza map yote kwa uhuru inabidi uwe levels za juu kidogo sasa kuliko kusubiri hadi ufike huko unatumiatu hii tool ku unlock map yote then unakwenda unapotaka..mkuu je hii ni ben easy moding
yaani kuna program moja hivi ya ku mod kitu chochote ndani ya ets2 vipi ndo hiyo auSjakuelewa swali lako.. Ila kama unaitaka ukisearch Google tu hilo jina inakuja.. Ni free. Hii inasaidia kwa wale tunaopenda kudownload map unaicheza yote hadi unaridhika then unaenda map ingine maana kicheza map yote kwa uhuru inabidi uwe levels za juu kidogo sasa kuliko kusubiri hadi ufike huko unatumiatu hii tool ku unlock map yote then unakwenda unapotaka..
Sent using Jamii Forums mobile app
au je unafahamu au kujua taratibu zote za kuunda map?Sjakuelewa swali lako.. Ila kama unaitaka ukisearch Google tu hilo jina inakuja.. Ni free. Hii inasaidia kwa wale tunaopenda kudownload map unaicheza yote hadi unaridhika then unaenda map ingine maana kicheza map yote kwa uhuru inabidi uwe levels za juu kidogo sasa kuliko kusubiri hadi ufike huko unatumiatu hii tool ku unlock map yote then unakwenda unapotaka..
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii kitu itakuwa tayali lini?Mambo hayo:
The 1.37 Open Beta for #ETS2 is here & includes:
FMOD sound engine [emoji344]
Openable windows [emoji597]
4 French Cities reworked [emoji632]
@ASUS_ROG Aura Ready support[emoji2773]
Walking camera in garage [emoji373]
Ownable food tanks [emoji202]
[emoji809] Much more!
Full change log at our blog post: The ETS2 1.37 Open Beta is here! SCSsoftware on TwitterView attachment 1411663
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu bonge la map sana linanoga na heavy cargo...mim sikuimalza kipind kile 1.30 nahisHiyo map niliimaliza yote kwenye version 1.35 niliunga na promods.. Map nzuri sana hiyo and challenging hasa uwe na heavy cargo..
Saiz na dili na map ambazo sikuzicheza kwanza hivi vi stand alone maps.. Nipo Brasil kwa sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ndo hiyo..yaani kuna program moja hivi ya ku mod kitu chochote ndani ya ets2 vipi ndo hiyo au
mkuu hapa umenitamanisha sana NILIPO. hadi ........
Kuhusu map nliwahii kuwa na video tutorial na software zake ila nlivyoona ni kitu inahitaji uwe na mda wa kutosha nikaacha na kufuta vyote..au je unafahamu au kujua taratibu zote za kuunda map?
Brasil 90% tayari so saiz nmeanza na Peru pia..Yes mkuu bonge la map sana linanoga na heavy cargo...mim sikuimalza kipind kile 1.30 nahis
Huko brazil nimepita pita tayar....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kwanza hizi truck za humu kwa goba znanifurahisha suspension yake..yani chuma inanesa kweny zile bumps barabaran hadi raha...mkuu hapa umenitamanisha sana NILIPO. hadi ........
Imeshatoka tayari ila bado ni beta version maana yake ni kama haijakamilika vizuri bado ina bugs nyingi so unacheza ila ukikutana ni vitu vinasumbua maana yake uwe mpole..mkuu hii kitu itakuwa tayali lini?
Afu kuna barabara zinakuwa ni full snow hizo kama huna powerful engine utajikuta unatembea na spidi 10 au kwenye kamlima kadogo tu usipande kabisa.. [emoji28]Yani kwanza hizi truck za humu kwa goba znanifurahisha suspension yake..yani chuma inanesa kweny zile bumps barabaran hadi raha...
Sent using Jamii Forums mobile app
uongo mbaya hiii kitu ni likuwa nayo but nahitaji elimu kidogo jinsi ya kuitumia cos hata ku install tu inanipa shida sana
mkuu yaani nilipo .Hahah yan nikiweka screenshot hapa utaeza pakua mzgo usku huu wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app