Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
mkuu mi nilishindwa kabisa namna ya kuanza na kumalizaHii inawezekana sana sema inataka mda wa kutosha maana ina vikorokoro vingi hadi ikamilike ndo maana wenzetu wanakuwa ni timu kabisa na wengine wanauza au kuomba donation..
Shida ukiwa mwenyewe na huna mda wa kutosha unaweza kuanza kuandaa map wakati game version ipo 1.35 unakuja kumaliza unakuta scs washa update game imefika v1. 40 huko.. Mi niliwahi kujarib nikaachia njiani..
Sent using Jamii Forums mobile app