Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hii inawezekana sana sema inataka mda wa kutosha maana ina vikorokoro vingi hadi ikamilike ndo maana wenzetu wanakuwa ni timu kabisa na wengine wanauza au kuomba donation..

Shida ukiwa mwenyewe na huna mda wa kutosha unaweza kuanza kuandaa map wakati game version ipo 1.35 unakuja kumaliza unakuta scs washa update game imefika v1. 40 huko.. Mi niliwahi kujarib nikaachia njiani..

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mi nilishindwa kabisa namna ya kuanza na kumaliza
 
mkuu je hii ni ben easy moding
Sjakuelewa swali lako.. Ila kama unaitaka ukisearch Google tu hilo jina inakuja.. Ni free. Hii inasaidia kwa wale tunaopenda kudownload map unaicheza yote hadi unaridhika then unaenda map ingine maana kicheza map yote kwa uhuru inabidi uwe levels za juu kidogo sasa kuliko kusubiri hadi ufike huko unatumiatu hii tool ku unlock map yote then unakwenda unapotaka..

yaani kuna program moja hivi ya ku mod kitu chochote ndani ya ets2 vipi ndo hiyo au
 
Sjakuelewa swali lako.. Ila kama unaitaka ukisearch Google tu hilo jina inakuja.. Ni free. Hii inasaidia kwa wale tunaopenda kudownload map unaicheza yote hadi unaridhika then unaenda map ingine maana kicheza map yote kwa uhuru inabidi uwe levels za juu kidogo sasa kuliko kusubiri hadi ufike huko unatumiatu hii tool ku unlock map yote then unakwenda unapotaka..

Sent using Jamii Forums mobile app
au je unafahamu au kujua taratibu zote za kuunda map?
 
Mambo hayo:

The 1.37 Open Beta for #ETS2 is here & includes:

FMOD sound engine [emoji344]
Openable windows [emoji597]
4 French Cities reworked [emoji632]
@ASUS_ROG Aura Ready support[emoji2773]
Walking camera in garage [emoji373]
Ownable food tanks [emoji202]
[emoji809] Much more!

Full change log at our blog post: The ETS2 1.37 Open Beta is here! SCSsoftware on TwitterView attachment 1411663

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii kitu itakuwa tayali lini?
 
Hiyo map niliimaliza yote kwenye version 1.35 niliunga na promods.. Map nzuri sana hiyo and challenging hasa uwe na heavy cargo..

Saiz na dili na map ambazo sikuzicheza kwanza hivi vi stand alone maps.. Nipo Brasil kwa sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu bonge la map sana linanoga na heavy cargo...mim sikuimalza kipind kile 1.30 nahis

Huko brazil nimepita pita tayar....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unambiwa balaa sana..harsh Russia
 
Attachments

  • ets2_20200408_122914_00.png
    ets2_20200408_122914_00.png
    217.6 KB · Views: 2
  • ets2_20200408_175841_00.png
    ets2_20200408_175841_00.png
    286.3 KB · Views: 2
  • ets2_20200408_173327_00.png
    ets2_20200408_173327_00.png
    377.2 KB · Views: 2
  • ets2_20200408_173331_00.png
    ets2_20200408_173331_00.png
    366.7 KB · Views: 2
  • ets2_20200408_171858_00.png
    ets2_20200408_171858_00.png
    420.5 KB · Views: 2
  • ets2_20200408_124826_00.png
    ets2_20200408_124826_00.png
    282.8 KB · Views: 2
  • ets2_20200408_175010_00.png
    ets2_20200408_175010_00.png
    379.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom