Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
mkuu ni 6 gbMzigo gb ngap?
K,K
nambie hapo umefunga engine yenye hp ngapi maana naona ni barafu tuUnambiwa balaa sana..harsh Russia
Mkuu mbona Mimi nipo 36 kitambowewe atajiju nan?. speed takatifu kuelekea 1.36
mwenzio hapa nilikuwa et bado yaaanMkuu mbona Mimi nipo 36 kitambo
Kcamp katuloga tufanyaje Sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
K,K
nambie hapo umefunga engine yenye hp ngapi maana naona ni barafu tu
Mkuu mbona Mimi nipo 36 kitambo
Kcamp katuloga tufanyaje Sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
K,K
Mkuu kwanza hiyo hahiitaji ku install, una download tu then extract ndani kuna ki file chake cha kufungua kimeandikwa ts se tool.. Labda kama itakwambia uwe na net framework 4.7.2 kama ulikuwa hujainstall hii ndo inabidi udownload maana bila hii hutaweza kuifungua hiyo app (ukisearch to Google net framework offline installer unaipata kwa uzuri chagua version 4.8 ambayo ndo latest )uongo mbaya hiii kitu ni likuwa nayo but nahitaji elimu kidogo jinsi ya kuitumia cos hata ku install tu inanipa shida sana
Njoo karibu mkuumwenzio hapa nilikuwa et bado yaaan
Sasa niko zangu kwa bwana Putin (Goba map)
View attachment 1414970
View attachment 1414971
View attachment 1414974
Daah, game nili-instal vibaya ilibidi nilitoe ninstall upya. Inshu ilikuwa DirectX
Kudadek....mnanipa midadi mbwa nyie
Mi mwenyew barafu sijaweka..ila kuna miji hata usipoweka barafu utakutana nayo...barafu tamu ukiwa na heavy cargo..yan raha sanaDaah, game nili-instal vibaya ilibidi nilitoe ninstall upya. Inshu ilikuwa DirectX
Nimeweka zile part 1 mpaka 6. zile za map za mabarafu sijaweka. Hivi kuna uwezekano nikakutana sehemu yenye barua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Napenda mandhari ya mabarafu
Ukikaa vibaya unaweza usilale
Mods nyingi Hadi raha
K,K
daah!! naona mtandao ndo unanizingua sana yaani toka jana ucku had saa hii et ndo asilimia hii.