Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

wewe atajiju nan?. speed takatifu kuelekea 1.36
 

Attachments

  • Shot 026.png
    Shot 026.png
    195.2 KB · Views: 2
uongo mbaya hiii kitu ni likuwa nayo but nahitaji elimu kidogo jinsi ya kuitumia cos hata ku install tu inanipa shida sana
Mkuu kwanza hiyo hahiitaji ku install, una download tu then extract ndani kuna ki file chake cha kufungua kimeandikwa ts se tool.. Labda kama itakwambia uwe na net framework 4.7.2 kama ulikuwa hujainstall hii ndo inabidi udownload maana bila hii hutaweza kuifungua hiyo app (ukisearch to Google net framework offline installer unaipata kwa uzuri chagua version 4.8 ambayo ndo latest )

Ukimaliza hapo unaifungua tu direct. Uzuri app yenyewe inajieleza vizuri kabisa, ukiifungua tu itakuonyesha sehem unachagua profile yako then una load.. Itafungua profile yako unayotumia kwenye ets then unai change unavyotaka.. Levels, garages, money na vitu kibao..
JPEG_20200410_102231_5948541940967734647.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah, game nili-instal vibaya ilibidi nilitoe ninstall upya. Inshu ilikuwa DirectX
Nimeweka zile part 1 mpaka 6. zile za map za mabarafu sijaweka. Hivi kuna uwezekano nikakutana sehemu yenye barua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Napenda mandhari ya mabarafu
Mi mwenyew barafu sijaweka..ila kuna miji hata usipoweka barafu utakutana nayo...barafu tamu ukiwa na heavy cargo..yan raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom