Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Now wanakaza game nyingi za kuanzia mwaka jana crack hakuna. Halafu Activition wameiremaster na call of duty MW2, ghost ndani.
Nmeona hizo remaster,,

Skuiz kwel crack znatoka kwa kuchelewa....ila kwakua nasie hatuna haraka fresh tu acha tupalangane na malory kwanza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm manual tu mzee af unaweka kwny subwoofer bac atar Mzee ukipiga stop engine kwny mteremko hehehehee km upo kitonga vile na ndnga ya Bakhressa
mi mwenyewe ni mwendo wa manual tu ndo unaifaidi game..afu uzuri wa manual uchukue engine ya kawaida tu hapo ngoma hadi ije ichanganye gia zinavyoingia mvumo unausikilizia tumboni tu..
 
Wakuu mna maisha mazuri sana. Yaani Indonesia, Peru, Europe mnazijua sana.

Hivi nikiwa na Android naweza kupiga hiyo misele kwa kuinstall game zipi.

kcamp

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kiukwel huu utam upo kweny pc tu..kwend android kuna vigame vya truck vyakiboya.. ila kweny pc utaenjoy mods hadi basi

Tafuta pc mkuu..upige misele urusi kwa bwana Putin

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwny android ukijaribu kupakua apk ya ets2 inazingua yn inakuwa km imekubali zen uki install na kuifungua inafunguka km ets2 ya kwny pc lkn baadae inaleta msg [emoji116][emoji116][emoji116]cjui kwnn au ndo wizi tu
 
Haya maujanja ya kuweka nembo za kibongo unafanya mwnyw au
yeah sema hizi mod mwazilishi wake kuna jamaa alikuwepo humu ndani alizitengeneza mwaka juzi kama skosei wakati tupo ver ya kumi na kitu huko ila mi nikawa kila version ya ets mpya ikitoka nazifanya ziwe compact ziendane na version mpya maana sometimes huwa zinasababisha game ku crash.. hapo nazimalizia zote ziendane na v 2.36 then ntawapa link kwa anaetaka.
 
Poa mkuu pa1 sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…