Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Ndo hivo tunatofautiana kwenye utaftaji,, Kumbuka game ni software tu haina kitu kipya, kama PES, FIFA, GTA SAN ANDREAS na mengine yapo kwenye android hili ETS 2 lina nini kipya,, ni maujanja ya kuliweka tuu
🙄🙄🙄 mkuu mbona vipya ni vingi kwa mfano EURO TRUCK DRIVE [android] linafanana sana na ETS2 but huwezi kulinganisha na ETS2
 
Tuendelee kuburudika,,
Mimi ni mpenzi wa original map japo zingine nachezaga lakin napenda kuexplore Europe,, Sasa hatuwezi fanana kwenye uchezaji, Mimi nimeweka No damage mod, engine mod, kama ujuavyo apo unapata engine za HP 2900, 3400 nk,, ko mwendo wangu ni 150km/hr jambo linalofanya nimalize route ndani ya muda mfupi tu
HATUPO KUBISHANA,, TUBURUDIKE JAMAN
 
Yan nimepoteza mood na hizi map,, nakumbuka nilivo zimaliza puno peru na brazil map kwa zaidi ya 80% ndipo nikapoteza hamu ya kucheza map zingine ko niwie radhi tu nataka now nianze kushusha vioo tu
😂 😂 bila kuona vumbi mambo huwa nahisi hayaend kbsa 1 37 aka shusha vioo labda mwisho wa mwezi huu
 
Hakuna ets2 ya simu...

Pita kwenye site yao hii ukiona kuna project ya Android mod wafute huu uzi

Projects | SCS Software

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, mm nilidowload na nika install kwny cm na likagoma, pia nilifatilia kila kitu alichosema huyo jamaa muhindi lkn haiwezekani mkuu, pia you tube kuna tutorial inaonesha kwamba hakuna ets2 ya kwny cm.
Projects | SCS Software

Hizo ndo project za ets 2..hakuna project ya Android..huyo jamaa kaingia chakike

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Ndo hivo tunatofautiana kwenye utaftaji,, Kumbuka game ni software tu haina kitu kipya, kama PES, FIFA, GTA SAN ANDREAS na mengine yapo kwenye android hili ETS 2 lina nini kipya,, ni maujanja ya kuliweka tuu
Swala ni hakuna ets2 ya simu...zipo simulator nyingine mbadala..lakin sio ets2

Projects | SCS Software pita site yao hii hapo hakuna project ya Android...hivi uta simulate goba kweny simu kwel?[emoji3]

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndo nalishusha apa, chapu naweka money and xps mods,, najikuta nina takribani bil 600,, na level flan ya mbaaaaaaali
Wala usiende Brazil wala Russia
wewe pakua hiyo Map ya Hondulandia uitupie Mod haina hata 1 MB
utanikuta mm nacheza na 1.37 version nakusubiri twende wote
huku speed mwisho 30km/h hiyo 150km/h ni Brazil na Europa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…