Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
🙄🙄🙄 mkuu mbona vipya ni vingi kwa mfano EURO TRUCK DRIVE [android] linafanana sana na ETS2 but huwezi kulinganisha na ETS2Ndo hivo tunatofautiana kwenye utaftaji,, Kumbuka game ni software tu haina kitu kipya, kama PES, FIFA, GTA SAN ANDREAS na mengine yapo kwenye android hili ETS 2 lina nini kipya,, ni maujanja ya kuliweka tuu