Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hivi kuna mod ya speed limit kwenye ets2?
ingia Option
nenda kwenye speed limiter ondoa TIK pia hakikisha umeweka Mod ya engine uweke engine kubwa na gearbox kubwa, pia uwe na gari kubwa, ukiscroll kushuka chini utaiona hapo ipo juu
 
Hatari. Na kosa la kwanza utafanya ni kuwa na mashine yenye horsepower ndogo, vile vilima huoandi na mzigo [emoji2]
Ni kweli Mkuu, hii Map mpya ya Hundurandia bila ya kuwa na gari kubwa engine kubwa hutembei
mm nilikuwa na Volvo 730hp nikaipa engine kubwa na gearbox gear22 kuna vilima ilishindwa nikauza mechi nakanunua Volvo miguu 12 mbele stearling miguu mi4 (Mende) ndipo ikapita
kwa hiyo gari lazima iwe kubwa

baada ya kununua Volvo mende ndipo nikapita
 
Mkuu siwezi pata mod za truck zenye uwezo
 
Mkuu siwezi pata mod za truck zenye uwezo
Mods zipo humuhumu katika Mada sikumbuki ni post namba ngapi?
ukizipata unaziweka katika Mod Manager angalau Mod ya Power engine na ina gearbox (hapo chini yenye rangi nyekundu) na Fast lever ambayo itakupatia pesa za kununua gari kwa haraka ipo chini kabisa kushoto kwenye picha

ukifika Level km ya 50 utaenda kwenye Manunuzi (Truck Dealer) Malori na kununua Lori kubwa la mwisho na kuliwekea injini
ngoja nikutafutie hizo Mods wataalam walishaziweka

 
πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ
 

Attachments

  • ets2_20200601_020920_00.png
    1.5 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_101016_00.png
    386.1 KB · Views: 2
  • ets2_20200603_101924_00.png
    1,010.6 KB · Views: 2
  • ets2_20200603_102504_00.png
    1.2 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_102633_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_102927_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_105350_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_105826_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_110056_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_110613_00.png
    1.5 MB · Views: 2

wakuu kata shime kcamp , na wengineo hapo kwenye wire mlivukaje? (maana kuna waya wa kulia mbovu gari inanesea upande) mm huwa naomba Garage wanivushe tena niliposhusha mzigo nikanunua Volvo Globetrotter miguu ya mende) mmefunga na treller duh safari hii wametukomesha lazima Dereva awe na leseni yenye akili timamu sio ya daladala au C ya abiria

kuna madaraja mawili, hili lingine nilivuka. lkn lile bovu manapitaje Du developer wa hii Map ya pili kiboko
 
DAAH!!! MBONA UNAPITA KAWAIDA TU BONYEZA NAMBA 3 KUNA ILE CAMERA YA JUU KUELEKEA CHINI INACHUKUA GALI ZIMA
 
Kaka mambo vipi.

Samahani kuwa nje ya dhumuni. (Naomba nisaidie link nipakue Abode Audition 1.5)

Nisaidie tafadhali Boss.
UNATAKA KUFUATA NYAYO ZA KAREEM ?. MI NINAYO BUT SIJUI KUITUMIA KBSA NA ISHANISHINDA KAMA UKO MUSOMA NJOO UCHUKUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…