Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

pamjela hujaifafanua hiyo njia, mm nilidhani za Afrika au unazungumzia njia za Puno-Peru
Hongera kwa picha naona barabara za Toco Toco, Putina Puchu, Yana Huara yaani unakuta kituo cha kushusha mzigo hakipo inabidi uchanje mbuga au kweny mto kwenda shusha mzigo.
nimelazwa njiani na kuwa LATE mara kibao, sijui huko Harsh Russia na Baikal nako kukoje
 
Hahaaa mkuu kuna trailer ya azam cola dahh io kwel noma😀😀
 
Hiyo ni map ya indonesia sio puno peru mzee
Hiyo map kuna mitaa ukipita mida ya swala unasikia adhana inaadhiniwa mda wa swala
Ni huko mitaa ya indonesia
 
Hahaaa mkuu kuna trailer ya azam cola dahh io kwel noma[emoji3][emoji3]
Hicho kimod flan unatupia alikitengeneza jamaa mmoja yupo humuhunu kwenye uzi mwingine wa eurotruck kipo kitambo sana hicho kimodi tangu 2015 kama sikosei
Kuna sheli za LAKEOIL na OILCOM
kampuni za maji za bongo za mikoani zipo tofauti tofauti nyingi tu
 
Hicho kimod flan unatupia alukitengeneza jamaa mmoja yupo humuhunu kwenye uzi mwingine eurotruck kitambo sana hicho kimodi tangu 2015 kama sikosei
Kuna sheli za LAKEOIL na OILCOM
kampuni za maji za bongo za mikoani zipo tofauti tofsuti nyingi tu
Na hakuna ya mabasi mdau?
 
Na hakuna ya mabasi mdau?
Basi za kibongo hapana mzee baba hizo amna
Kunaa moja nilikuwaga nayo mod ya bus ilikuwaga tu na modfy coroul ya abood bus pekee ila kwa kuwa si mpenzi sana wa mabus sikudeal nayo sana
 
Dahh katisha kinyama👏👏👏
 
Asante.. Nashukuru sana mkuu..
 
Wakuu nimedpwload ii version ya 1.34 na nashukuru wadau kwa kunielekeza adi nimefanikisha ila sasa naona kama lina ganda ganda sana tatizo itakua ni nini labda kama naweza solve
 
Yeah mzee nilikuwa natumia hii kumodfy
 
Wakuu nimedpwload ii version ya 1.34 na nashukuru wadau kwa kunielekeza adi nimefanikisha ila sasa naona kama lina ganda ganda sana tatizo itakua ni nini labda kama naweza solve
Pc yako uwezo wake ni upi
Km pc yako uwezo mdogo weka low setting utaenjoy
 
Pc ni dell

RAM 4

HDD 500

PROCESSOR 2.1
Nitajie model namba
Mfano dell latitude e5400 au vostro Zimeandikwa hapo mbele ya PC
Au hapo kwenye seach bar andika Dxdiag seach crick ok itakuja info zote tha pc model nk
Mana nilitegemea ungenitajia aina ya procesor yake
 
Wakuu nimedpwload ii version ya 1.34 na nashukuru wadau kwa kunielekeza adi nimefanikisha ila sasa naona kama lina ganda ganda sana tatizo itakua ni nini labda kama naweza solve
Mkuu itakua ni drivers haziko updated ..fanya kuziupdate kwanza itakaa poa
 
Nitajie model namba
Mfano dell latitude e5400 au vostro Zimeandikwa hapo mbele ya PC
Au hapo kwenye seach bar andika Dxdiag seach crick ok itakuja info zote tha pc model nk
Mana nilitegemea ungenitajia aina ya procesor yake
Iyo apo kiongozi
 
"C:\2-click run\Euro Truck Simulator 2 v1.22.0.3 (29 DLC)\bin\win_x64\eurotrucks2.exe" Natumia Game version iyo . Nimemodify game kuongeza speed kutoka 90 mpaka 200km/h.
Naitaji mod ya kuongeza hp sasa. Aliye nayo anipe link.
 
Version yako ha zaman sana mkuu..njoo 1.34 ndio upate mods latest ikiwemo ya horsepower
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…