Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
check Post # 161 na # 205Sorr mkuu..
Umesahau ku attach link?
Pakua hyo 1.34Error something went wrong.
1337x.to
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
check Post # 161 na # 205Sorr mkuu..
Umesahau ku attach link?
Pakua hyo 1.34Error something went wrong.
1337x.to
pamjela hujaifafanua hiyo njia, mm nilidhani za Afrika au unazungumzia njia za Puno-PeruZipo njia mbaya afrca hazioni ndani
Kuna route hutoboi mwenyewe utacancel ama kila saa upige F7
Unakuta njia mafuriko barabara huoni imefunikwa ukiteleza tu korongoni
Unakuta ajari njiani hakuna pakupita eidha ushuke bondeni au urudi nyuma uzunguke yaan kwa mfano unaenda moro kufika VIGWAZA labda kuna ajari nijia haipitiki uchagua ushuke kolongoni uharibu gari au urudi nyuma uzunguke bagamoyo charinze then upeleke mzigo moro kumbuka ukirudi nyuma unapoteza muda utaanza kupigiwa mziki unachelewa unakatwa pesa na pia kuna madaraja umetiboa kibahati tuu or uingize kolongoni uharibu gari XP zipungue utajijua sasa mwenyewe
Kuna road moja hiyo hiyo milima kitonga fala tu halafu gari zimeharibika njiani kupishana hatari halafu tope la haja taili zinaslip tuu noma sana sans
Zipo njia mbaya afrca hazioni ndani
Kuna route hutoboi mwenyewe utacancel ama kila saa upige F7
Unakuta njia mafuriko barabara huoni imefunikwa ukiteleza tu korongoni
Unakuta ajari njiani hakuna pakupita eidha ushuke bondeni au urudi nyuma uzunguke yaan kwa mfano unaenda moro kufika VIGWAZA labda kuna ajari nijia haipitiki uchagua ushuke kolongoni uharibu gari au urudi nyuma uzunguke bagamoyo charinze then upeleke mzigo moro kumbuka ukirudi nyuma unapoteza muda utaanza kupigiwa mziki unachelewa unakatwa pesa na pia kuna madaraja umetiboa kibahati tuu or uingize kolongoni uharibu gari XP zipungue utajijua sasa mwenyewe
Kuna road moja hiyo hiyo milima kitonga fala tu halafu gari zimeharibika njiani kupishana hatari halafu tope la haja taili zinaslip tuu noma sana sansView attachment 1083697View attachment 1083698View attachment 1083699View attachment 1083700View attachment 1083701View attachment 1083702View attachment 1083703View attachment 1083704View attachment 1083705View attachment 1083708View attachment 1083709View attachment 1083710View attachment 1083711View attachment 1083715View attachment 1083716View attachment 1083717View attachment 1083718View attachment 1083719View attachment 1083720View attachment 1083721
Hiyo ni map ya indonesia sio puno peru mzeepamjela hujaifafanua hiyo njia, mm nilidhani za Afrika au unazungumzia njia za Puno-Peru
Hongera kwa picha naona barabara za Toco Toco, Putina Puchu, Yana Huara yaani unakuta kituo cha kushusha mzigo hakipo inabidi uchanje mbuga au kweny mto kwenda shusha mzigo.
nimelazwa njiani na kuwa LATE mara kibao, sijui huko Harsh Russia na Baikal nako kukoje
Hicho kimod flan unatupia alikitengeneza jamaa mmoja yupo humuhunu kwenye uzi mwingine wa eurotruck kipo kitambo sana hicho kimodi tangu 2015 kama sikoseiHahaaa mkuu kuna trailer ya azam cola dahh io kwel noma[emoji3][emoji3]
Na hakuna ya mabasi mdau?Hicho kimod flan unatupia alukitengeneza jamaa mmoja yupo humuhunu kwenye uzi mwingine eurotruck kitambo sana hicho kimodi tangu 2015 kama sikosei
Kuna sheli za LAKEOIL na OILCOM
kampuni za maji za bongo za mikoani zipo tofauti tofsuti nyingi tu
Basi za kibongo hapana mzee baba hizo amnaNa hakuna ya mabasi mdau?
Bus za Tanzania unapiga skins tu unazipataNa hakuna ya mabasi mdau?
Hicho kimod flan unatupia alikitengeneza jamaa mmoja yupo humuhunu kwenye uzi mwingine wa eurotruck kipo kitambo sana hicho kimodi tangu 2015 kama sikosei
Kuna sheli za LAKEOIL na OILCOM
kampuni za maji za bongo za mikoani zipo tofauti tofauti nyingi tu
Asante.. Nashukuru sana mkuu..Bus za Tanzania unapiga skins tu unazipata
Tanzania Buses Skins for Marcopolo g7 v 1.0 - ETS 2
Tanzania Buses Skins for Marcopolo g7 - Description: This mod adds Tanzania Buses Skins to Marcopolo Paradiso G7 1600 by ModShop Works on version 1.27, 1.28 and 1.30 Link 1 Skins Link 2 Bus Credits: Elias Charlz Marcowww.modland.net
Pakua skin hapo
Yeah mzee nilikuwa natumia hii kumodfyBus za Tanzania unapiga skins tu unazipata
Tanzania Buses Skins for Marcopolo g7 v 1.0 - ETS 2
Tanzania Buses Skins for Marcopolo g7 - Description: This mod adds Tanzania Buses Skins to Marcopolo Paradiso G7 1600 by ModShop Works on version 1.27, 1.28 and 1.30 Link 1 Skins Link 2 Bus Credits: Elias Charlz Marcowww.modland.net
Pakua skin hapo
Pc yako uwezo wake ni upiWakuu nimedpwload ii version ya 1.34 na nashukuru wadau kwa kunielekeza adi nimefanikisha ila sasa naona kama lina ganda ganda sana tatizo itakua ni nini labda kama naweza solve
Pc ni dellPc yako uwezo wake ni upi
Km pc yako uwezo mdogo weka low setting utaenjoy
Nitajie model nambaPc ni dell
RAM 4
HDD 500
PROCESSOR 2.1
Mkuu itakua ni drivers haziko updated ..fanya kuziupdate kwanza itakaa poaWakuu nimedpwload ii version ya 1.34 na nashukuru wadau kwa kunielekeza adi nimefanikisha ila sasa naona kama lina ganda ganda sana tatizo itakua ni nini labda kama naweza solve
Sawa mkuu ngoja nijaribu kupdteMkuu itakua ni drivers haziko updated ..fanya kuziupdate kwanza itakaa poa
Iyo apo kiongoziNitajie model namba
Mfano dell latitude e5400 au vostro Zimeandikwa hapo mbele ya PC
Au hapo kwenye seach bar andika Dxdiag seach crick ok itakuja info zote tha pc model nk
Mana nilitegemea ungenitajia aina ya procesor yake
Version yako ha zaman sana mkuu..njoo 1.34 ndio upate mods latest ikiwemo ya horsepower"C:\2-click run\Euro Truck Simulator 2 v1.22.0.3 (29 DLC)\bin\win_x64\eurotrucks2.exe" Natumia Game version iyo . Nimemodify game kuongeza speed kutoka 90 mpaka 200km/h.
Naitaji mod ya kuongeza hp sasa. Aliye nayo anipe link.