Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Karibu sana kaka.. Long time no see.. [emoji28].. Tupo mkuu, huko online pia kama kawa.. Karibu sana.. Tunasubir controller hizo kwa hamu..
 
Aah nishaghair mkuu...mana naskia huko hakuna hizi mods zetu...itabd nile crack tu [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Yeah ni kweli.. Kule online hawataki mods na ukiweka afu ukaunganisha online zinaonekana sio compartible.. So mi nlichofanya nina profile mbili..moja ni ya kukimbizana tu online multi-player na nyingine natumia online kwenye ila sichezi kwenye server za multi-player so hii inakubali mods bila shida.

Pia nina version ya game ila zile za crack nayo nime install ambayo bado ipo ver 1.37..humo ndo full mods.. Hii ya original sema baadhi ya mods inataka uwe na dlc zote na hizo dlc ni za kununua so saiz nna dlc baadhi nimebidi nilipie tu na nyingine naendelea kuziweka taratibu.. Ila mpango wangu huko mbele niwe na game na full dlc zote paid..maana nimeona kuna raha yake pia kutumia online.. Online kuna ile sehem ya kuchukua external contracts ambazo kwenye offline huzipati na pale sio lazima u connect na multi-player server ila mods nyingi bado zinakubali..
 
Hapa sasa nimekua conviced kidgo...by the way nime dual boot mashine yangu...so window 1 nitaweka crack na nyingine nitanunua sasa yenyew namm nikimbizane huko online

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Hapa sasa nimekua conviced kidgo...by the way nime dual boot mashine yangu...so window 1 nitaweka crack na nyingine nitanunua sasa yenyew namm nikimbizane huko online

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hilo nalo WAZO Mkuu hata mm natamani niwena sehemu (machine) ili nirudi kwenye cracks
lkn mfano ukiwa na e-mail moja wanakufuata huko huko alivyosema sijui nini nitajaribu
 
Aisee Mkuu niko Mafinga hapa nainjoy baridi moja nzuri tu,, hizo gear tunazipata lini maana wengine ni VIRTUAL DRIVERS.
 
Hapa sasa nimekua conviced kidgo...by the way nime dual boot mashine yangu...so window 1 nitaweka crack na nyingine nitanunua sasa yenyew namm nikimbizane huko online

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ni vizuri kununua aisee, unakuwa huru hata kucheza kwenye mtandao. Mi nilinunua $19 tangu imetoka.
 
online ni noma 🙌🙌🙌 usipokuwa makini waweza usifanye kazi.
 
jmani kuna convoy tarehe hiyo
 

Attachments

  • TruckersMP - Mozilla Firefox 7_28_2020 10_50_20 AM.png
    390.8 KB · Views: 2
jmani kuna convoy tarehe hiyo
Ok,. Sijawahi kushiriki kwenye convoy ila nina experience ya kupishana na convoy au kufika miji yenye mikubwa yenye magari mengi unakuta ghraphics inatetereka kidogo. CPU yangu ni Intel core i5 3400 3.1GHZ, RAM 8GB na GRAPHICS CARD NI NVIDIA GTX 1050TI 4GB. Sijui ninyi wenzzpangu mna experience gani za hizo convoy.
 
kwa mimi sina uzoefu wowote na hizo convoy ila nataka nijalibu. kuna siku niliingia mji wa kiel kulikuwa na folen ya gari nyingi sana daah game lili scrach na niikajua tatizo ni graphic drive.
 
Ni kweli kwenye conyoy niliwahi jaribu ila nikaishia njian.. Ila nahisi tatizo sio pc tu nahisi na network connections zetu hizi internet zinakuwa sio stable sana.. Unless uwe na internet imetulia hasa maana nimejaribu kufanya utafiti mdogo nikiwa sehem yenye traffic wengi online huwa game inakuwa kama ina scratch na mara nyingi nakuwa kicked out because of too high ping wanasema.. Ila nikiwa kwenye sehem ina traffic ndogo unakuta napiga fresh tena smooth kabisa hadi mwisho.. Nisipoweka multi-player nikiwa online pia game inakuwa imetulia sana na very smooth.. So nahisi hata internet connection inachangia kwa kiasi kikubwa kama unataka kucheza multi-player sehem yenye traffic kubwa au kushiriki convoy..

After all hizo convoy zipo nyingi sana ukijiunga kwenye ma group ya multi-player huko..
 
Ok nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…