Habari za Leo Madereva Wa ETS2, Mimi ni Hans Mapunda, Nipo Mafinga Iringa. Ni mdau sana wa ETS2 na Flight Simulators (Microsoft Flight Simulator,X Plane 11) . Kwenye ETS2 nipo upande wa kutengeneza Hshifter, Steering Wheel, Pedals. Kwa sasa Namalizia My New DIY Hshifter, Steering Wheel na Pedals lakini pia ninatengeneza pia kwa ajili ya Wadau wengine ambao watahitaji kwa gharama nafuu sana. Soon nitaanza kurusha kwenye huu uzi na kwenye channel yangu(hansmapunda) youtube. Naombeni mnikaribishe. Asanteni