HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Me nipo Amsterdarm sio Rotterdamkumbuka ukisha fika hapo rotelnderm kwenye hiyo garage nistue hapa sawa
Nina Mzigo unakwenda CologneMe nipo Amsterdarm sio Rotterdam
sawa hiyo haina shida kaa hapo hapo amsterdarm garage nakukuta sasa hiv sawa ni dakika chache toka hapa nilipoMe nipo Amsterdarm sio Rotterdam
Ok Sehemu wanapouza gari aina ya DAFsawa hiyo haina shida kaa hapo hapo amsterdarm garage nakukuta sasa hiv sawa ni dakika chache toka hapa nilipo
Nipo Kwenye Volvo nyeusi GLOBETROTTER karibu na GateOk Sehemu wanapouza gari aina ya DAF
Jamani Nipo na Mdau hapa kwenye ets2 TruckersMPNipo Kwenye Volvo nyeusi GLOBETROTTER karibu na Gate
NDIYO MZEE BABA TUKO PAMOJA KBSAJamani Nipo na Mdau hapa kwenye ets2 TruckersMPView attachment 1525194
mm bado nipo Great Britain, Firestowe nitawatafuta
Upo online?mm bado nipo Great Britain, Firestowe nitawatafuta
Dah mnatutesa wazee wa crackJamani Nipo na Mdau hapa kwenye ets2 TruckersMPView attachment 1525194
Mfanye mchakato mnunue, Ukishanunua yani unakuwa huru sana. Hautakuwa na habari ya kudownload hizo za KU BUMBA. jitahidi tafuta 50,000 weka kwenye MPESA Masterkadi au subiri ofa ambayo haijulikani itakuja lini.
Mimi nina miaka mingi tangu nimeinunua hii kitu. Uzuri no kwamba gemu zako zote unakiwa nazo kwenye steam library yako zitawndeleaga kiwepo tu hata kama kompyuta ikiharibika.Mfanye mchakato mnunue, Ukishanunua yani unakuwa huru sana. Hautakuwa na habari ya kudownload hizo za KU BUMBA. jitahidi tafuta 50,000 weka kwenye MPESA Masterkadi au subiri ofa ambayo haijulikani itakuja lini.
mkuu offer ikitoka nunua DLC ya viva la france kuna kisiwa flani hiv balaa kina barabara kama vile za puno perunipo Online Mkuu natoka Filexstowe naelekea Kiel
mmesema mpo garage gani vile ?
katika Mji wa Rottedam au Amstedam?
View attachment 1525376View attachment 1525376
mkuu muda ule wali nikick out kwa sababu ya network iliyumba ila kwa sasa niko kisiwani huku bastia ufalansaMfanye mchakato mnunue, Ukishanunua yani unakuwa huru sana. Hautakuwa na habari ya kudownload hizo za KU BUMBA. jitahidi tafuta 50,000 weka kwenye MPESA Masterkadi au subiri ofa ambayo haijulikani itakuja lini.
sawa Mkuu je ni $ ngapi?mkuu offer ikitoka nunua DLC ya viva la france kuna kisiwa flani hiv balaa kina barabara kama vile za puno peru
kwa ninazo zijua kipindi cha offer ilikuwa hivi VIVA LA FRANCE $ 5. SCANDNAVIA $ 5. GONG EAST $ 5. ITALY $ 5. BALTIC SEA $ 8 . BLACK SEA $ 12 NA SOON na wanaleta nyingine iitwayo IBERIA sijui itauzwa $ ngapisawa Mkuu je ni $ ngapi?
mm nimewafuata amsterdam kumbe umeenda France
ok