Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hatimaye nimedownload version mpya ya Eurotruck Simulator version 1.38.....Naomba kujua hizo mods zaweza kussuport iyo version mpya..maps,,road

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Haziwezi, mm niliingia 1.38 nikawa siwapati wenzangu
unachoweza kufanya ni kurudi Temporary 1.37 wakati ukiwasubiri wenzako na Mods za 1.38
ukiwa kwenye online steam mara nyingi wanakuuliza uingie version mpya ukiitika tu wankupeleka
 
Aisee ili game lina lugha sijui Russia...Nielekezen namna ya kubadili lugha kuwa English

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
anza Profile ya mchezaji mwingine
pale mwanzo tu wanuliza Language
1596483405976.png
 
Haziwezi, mm niliingia 1.38 nikawa siwapati wenzangu
unachoweza kufanya ni kurudi Temporary 1.37 wakati ukiwasubiri wenzako na Mods za 1.38
ukiwa kwenye online steam mara nyingi wanakuuliza uingie version mpya ukiitika tu wankupeleka
mkuu mbona hiyo ni kama crack AKA codex. na ni vyema zaidi aende brasil kwenye kidongo chekundu
 
rota brazil 😀 😀
 
Attachments

  • ets2_20200802_172148_00.png
    ets2_20200802_172148_00.png
    199.3 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172255_00.png
    ets2_20200802_172255_00.png
    248.8 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172328_00.png
    ets2_20200802_172328_00.png
    220.4 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172352_00.png
    ets2_20200802_172352_00.png
    223 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172508_00.png
    ets2_20200802_172508_00.png
    265.6 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172529_00.png
    ets2_20200802_172529_00.png
    180 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172736_00.png
    ets2_20200802_172736_00.png
    188.6 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172743_00.png
    ets2_20200802_172743_00.png
    187.4 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_172918_00.png
    ets2_20200802_172918_00.png
    244.3 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_173213_00.png
    ets2_20200802_173213_00.png
    200.6 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_173618_00.png
    ets2_20200802_173618_00.png
    194.5 KB · Views: 4
Haziwezi, mm niliingia 1.38 nikawa siwapati wenzangu
unachoweza kufanya ni kurudi Temporary 1.37 wakati ukiwasubiri wenzako na Mods za 1.38
ukiwa kwenye online steam mara nyingi wanakuuliza uingie version mpya ukiitika tu wankupeleka
zipo mkuu..hata mimi ninayo 1.38 na nna mods nyingi tu zinazofanya kazi za 1.38..sema nmerudi 1.37 kwa sababu ya kucheza multiplayer tu.. ila mods za 1.38 zipo..nenda humu kuna mods kibao :

Euro Truck Simulator 2 mods, ETS 2 mods
 
Hainipi optionView attachment 1526402

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
hapo umekosea kule wakati unafanya installation, huyo codex pale mwanzo kabisa unapoanza kuinstall kuna sehem ya kuchagua language..by default huwa inakuwa ni russia so kama ulipiga next...next tu bila kuangalia ndo hivyo tena..so hapo uninstall hiyo kisha install upya..
 
Hapo hana haja ya kuuntall..pale pale anavyocreate profile mpya kuna Option ya kuchange language..ngoja tumuangalizie ni tab ipi ya language kwa sie wenye English tayar

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
OI WADAU LEO TRUCKER MP TUTAKUWA MAENEO YA Humburg Germany, MI NISHA FIKA TOKA UFARANSA UKWAJU NAE YUPO TUNAWASUBILI NA NINYI LOCATION NI GARAGE
 
Back
Top Bottom