Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

OI WADAU LEO TRUCKER MP TUTAKUWA MAENEO YA Humburg Germany, MI NISHA FIKA TOKA UFARANSA UKWAJU NAE YUPO TUNAWASUBILI NA NINYI LOCATION NI GARAGE
1596552043725.png

kweli naona mmeanza kuja ngoja mchuma wangu wa Scania niupark vizuri
sasa lugha yenu siifahamu OVER

nielekezeni vizuri kuRussia sikipati OVER
 
HAWA JAMAA HUWA NI WAJANJA kweli kweli. huwa kuna nmna ya kufanya ili ku share mzigo mmja
Ndo hivyo huwa wanafanya.. Yaani mnaangalia kutoka kampuni moja afu wote mnachagua same cargo maana cargo utakayoiona wewe na mwingine pia ataiona ndo maana sometimes utaona unapotaka kwenda ku park unakuta na mtu mwingine anakuja ku park hapo hapo..na ndo maana ya ile no collision zone..
 
Back
Top Bottom