Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wadau,,,Hivi mnatokaje kwa zile barabara ambazo ajali imetokea,,unakuta polisi wameweka kizuizi,,wakat huohuo ndo route yako inatakiwa kupita road iyoiyo...
 
Wadau,,,Hivi mnatokaje kwa zile barabara ambazo ajali imetokea,,unakuta polisi wameweka kizuizi,,wakat huohuo ndo route yako inatakiwa kupita road iyoiyo...
ndo diversion zenyewe hizo..hapo unabidi ubadilishe route tu..ukitaka usiwe nazo hizo kuna sehem pale kwenye settings za game play kuna setiings yake pale unaweza kupunguza au kutoa kabisa..
ila kuna baadhi ya roadblocks mi huwa nalazimisha tu kupita ingawa kuna nyingine huwezi..
 
maeneo ya calais hapa kuna truck karibia 1000
 

Attachments

  • ets2_20200805_120551_00.png
    1.1 MB · Views: 4
jameni kwa haya yaliyotokea leo hata mi sijapenda nahisi ni mtandao tu ndo ulikuwa unazingua sana sasa bas hata kama ukiwa out the server usijihisi uko peke yako hapana tuko wote. na kwa wewe ambae bado hujajiunga nasi karibu sana link hiyo Steam Community :: Chat Invitation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…