Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

hauko mwenyewe mkuu hata mimi game lilikuwa lina crash ile mbaya. ila nimesha tatua tatizo
 
matatizo ni kama haya. yaani mashine inakuwa nzito mpaka uzime alafu ndo uwashe upya
 

Attachments

  • ets2_20201016_075609_00.png
    1.5 MB · Views: 3
SASA BADILISHA KWANZA IANZE NAMBA 6,5,4,3,2,1 MWISHO HIYO LOCK 1.38... USIWEKE NAMBA 7
 
Nimetest jana kam kawa kuna sehem nikifika inacrash....au sitakiw kuadd hata zile extras mod zake? Mana nikaongeza tandam mod ile na nyingne moja ina picha ya malory ya blue

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
daaah mbona huo ushakuwa msala. .... jana ilinutokea tena hiyo inshu ikabidi nizame you tubekwa goba harisi....nilichokigundua ni kuwa yaani desable all DLC. sasa kaz ni kwako maana mimi nishafanya hivyo na nikatest kidogo naona nime faulu ie sehemu iliyokuwa inasumbua
 
Hebu ngoja nijarbu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Ile 1.38 lock sindo imedisable dlc tayar? Mana goba bila kudisable dlc huchezi

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
iv unaanzaje kuchoka!!!
 

Attachments

  • ets2_20201023_102742_00.png
    1.5 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_113702_00.png
    1.7 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_113857_00.png
    1.7 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_114008_00.png
    1.7 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_115700_00.png
    1.4 MB · Views: 1
mkuu hii mij ya russia nashindwa hata kuitamka. na nimefika huku baada ya ku lock hizo dlc. ilamkuu hii ramani ya goba kuna kitu kimenishangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…