Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Harafu KWENYE ile function key f5 inasaidia nini?maana nilivyopress f1 ikaja table ndogo hivi inavikorokoro,sasa nikapress f5 ,baada ya dk5 computer ikazima ,ilivyowaka ikaniambia kwamba BIOS inedetect kwamba nimerequest hybernet ili kuprevent overheating,so ikawa inajizima kila nikiiwasha mpaka nilivyoifunga ile application ndio ikaacha
 
f5 ni kuoneha ukubwa wa ramani yaani ikae aje iwe ya saiz ndogo ya kati au kubwa
 
Kuna wahuni naskia ni Islamic state wanazingua so nadhani ndiyo tunaenda kuwaadabisha cna uhakika ila kwa jinc ile convoy nilivyoiona itakuwa inaenda kule kule tu.
mungu awatangulie hawa jamaa ktk kazi yao na nchi iendelee kuwa salama hasa kwenye kipindi kama hiki
 
Wakuu mna-enjoy sio siri. Kuna scania nilikuwa nimeshikilia nimevaa headphone utafikiri nimeshikilia mtambo kabisa.
Nilikuwa nimeozoea kucheza game la ndege hadi nikawa najihisi rubani.
na kuna mnyama VOLVO GROBETROTER HP 750 WE HIKI CHUMA NI SHIDA
 
Wakuu mna-enjoy sio siri. Kuna scania nilikuwa nimeshikilia nimevaa headphone utafikiri nimeshikilia mtambo kabisa.
Nilikuwa nimeozoea kucheza game la ndege hadi nikawa najihisi rubani.
Nitajie jina nika download hyo game ya ndege mkuu km ni android.
 
Inaunguruma iyo hatari, pia Renault nayo naipenda sana inaunguruma km yenyewe af uwe unaendesha manual dah.
mwamba kanikumbusha kuna game frani hiv huko play store nila ndege lenyewe lilikuwa linahusu maswala ya usafilishaji mizigo ya kijeshi daah pindi nipo hewani nilijihisi pilot
 
Back
Top Bottom