Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hatari! Mimi huwa naunganisha na subwoofer, napiga moto halafu nazima, basi linazima kama mashine yenyewe kabisa linavyotikisika na kupumua pale mwishoni. Huwa nikifika kwenye mataa naheshimu kama nimeshikilia ndinga kabisa.
😬 😬 😬 😬 daah heli yako unae heshimu hizo taa mi huwa naunga moja kwa moja haswa nikiwa nimechelewesha mzigo
 
Na tunakua na uwezo wa kujuana kabisa kwamba hapa nmepisha na jamaa ang
NDIYO YAANI KILA KITU kwa mfano hapa nilikuwa na sijui nini..... na kwa baadae nikawa na hans mapunda
 

Attachments

  • ets2_20200803_112313_00.png
    1.5 MB · Views: 1
  • ets2_20200803_113654_00.png
    1.4 MB · Views: 1
  • ets2_20200802_093231_00.png
    1.1 MB · Views: 1
  • ets2_20200802_091349_00.png
    1,013.5 KB · Views: 2
Wakuu computer yangu inazima nikicheza hii game,harafu wakati wa kuiwasha inanipa message ambayo nimeambatanisha screen shot hapo ,lakini pia nimeambatanisha NA properties za computer,embu nisaidieni tatizo nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…