OG chif, haun link itakayo kupelek had utorrent maan kudownload kawaid kwa browser doh co pw1.38
Link ipo juu hapo kweny thread..shuka mwishon sasa utaona link
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kwan huna idm? Direct link ndio nzur sasaOG chif, haun link itakayo kupelek had utorrent maan kudownload kawaid kwa browser doh co pw
[emoji3] karbu mzee...Russia kumenogabaada ya kuwa karantini sasa nimetoloka na kuludi uraiani..... nawaona, nawaona jukwaaa linazidi kusonga
yap naona kweli russia kumenoga ila nilitelekeza volvo maeneo haya sababu scswananilazimisha kwenda 1.39
Dah huu mtaa naukumbuka[emoji23]yap naona kweli russia kumenoga ila nilitelekeza volvo maeneo haya sababu scswananilazimisha kwenda 1.39
Aende torrent kwa fitgirlcheki oceanic of games ipo , pia kwa fitgirl jaribu kucheki sina uhakika sana lakini
daah hii kitu ni noma mzee na kuna hii mitaa jamaaa kaipa jina PY1,PY2,PY3 MPAKA PY8
panda juu mwanzoni kabsa wa hii thead kcamp kaweka linkWakuu na game Truck Simulator Europe 2 version 0.38 nimecheza nimechoka na map zilezile naombeni links ya kupata map mods
Shukran mkuu ngoja nijaribupanda juu mwanzoni kabsa wa hii thead kcamp kaweka link
Nakazia hata Mimi nataka kuicheza hii game for AndroidGame hii ya ETS 2,msaada ikiwa inapatikana Kwa
android. Link please
Hili game huwezi cheza kwa simu mkuu labda kwenye simu upakue game inaitwa GTS2 yako mawili chukua yote ukipenda yanakaribiana na game hili la ETS2.Game hii ya ETS 2,msaada ikiwa inapatikana Kwa
android. Link please
Haiwezekani.Nakazia hata Mimi nataka kuicheza hii game for Android
sawa mkuuHili game huwezi cheza kwa simu mkuu labda kwenye simu upakue game inaitwa GTS2 yako mawili chukua yote ukipenda yanakaribiana na game hili la ETS2.