MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Nenda dukani tafuta pc yoyote inayouzwa kuanzia laki 6..[emoji2][emoji2]Oya wadau pc yangu vip inaweza kusukuma ETS 2View attachment 1738987
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda dukani tafuta pc yoyote inayouzwa kuanzia laki 6..[emoji2][emoji2]Oya wadau pc yangu vip inaweza kusukuma ETS 2View attachment 1738987
Si mbaya akijalibu
WoyoooooooooJiandaeni kwa ujio wa ALASKAN TRUCK SIMULATOR
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Wakubwa pes 2017 hapa nilikuwa nacheza vizuri tu kwenye pc, sasa leo kila nikijaribu kucheza inaishia njiani ikisema "pes 2017 by NRG has stopped working". Msaada hapa! Chief-Mkwawa
Chief-MkwawaMfuate pm chief mkwawa
mzee mfuate inbox hapa sijawahi kumuona
Hii inaweza kuharibu soko la American truck.Woyooooooooo
Amshaaaaaa
Popooooooo
Hiyo kitu naipata vizuli mkuu
American truck simurator wajipange
Kabisa wala hujakoseaHii inaweza kuharibu soko la American truck.
Na kuna ngoma ya American mudrunner (spintire) hii game ipo poa sana na ina mods za kiume zaid unaweza endesha had kifaru na rough road za kufa mtu bila 4wheel na dif lock kuna sehem haupiti
Ngoja tuone ushindan wao japo niliona YouTube Euro truck simulator 3 sijui inatoka lin? Nayo ipo advance kwenye graphics.Kabisa wala hujakosea
Scs kwa hili waangalie upyaa vinginevyo american truck lazima lichuje,
hii alaska truck naona kwenye upande wa graphics iko njema sana pia wameongeza
really damage
taili kupata pancha
, dereva kushuka nje ya gari kisha anatafuta msosi
,hali mbaya ya hewa
Ambapo vitu vyoote hivi scs bado hawajaongeza kwenye game zao
ukiamua kucheza game lazima ukubaliane na lolote lileTatizo hizo game mbili zote zinataka mashine yenye specs kubwa kubwaa.
AmshaaaaaaNgoja tuone ushindan wao japo niliona YouTube Euro truck simulator 3 sijui inatoka lin? Nayo ipo advance kwenye graphics.
Sema hao jamaa wa ALASKAN TRUCK wapo vizur had pancha et dreva unashuka kwenye gar unapiga jek unabadir tire mwenyewe
Ets2 kiboko mzee...yani wapinzani wana safari ndefu kufika waLipo ets2 saiz ..hasa developer supportAmshaaaaaa
K camp umeiona hii lakini [emoji115][emoji115][emoji115]
Mkuu Umeona bei ya vifulushi vya internet lakiniEts2 kiboko mzee...yani wapinzani wana safari ndefu kufika waLipo ets2 saiz ..hasa developer support
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Yani tutapata tabu sana... night pack halotel imetolewa kbisa..na ets 2 ndo hivyo gb 10[emoji16]Mkuu Umeona bei ya vifulushi vya internet lakini
Gb4.4=10000 mwezi mmjaYani tutapata tabu sana... night pack halotel imetolewa kbisa..na ets 2 ndo hivyo gb 10[emoji16]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app