Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wakubwa pes 2017 hapa nilikuwa nacheza vizuri tu kwenye pc, sasa leo kila nikijaribu kucheza inaishia njiani ikisema "pes 2017 by NRG has stopped working". Msaada hapa! Chief-Mkwawa
 
Woyooooooooo
Amshaaaaaa
Popooooooo
Hiyo kitu naipata vizuli mkuu
American truck simurator wajipange
Hii inaweza kuharibu soko la American truck.
Na kuna ngoma ya American mudrunner (spintire) hii game ipo poa sana na ina mods za kiume zaid unaweza endesha had kifaru na rough road za kufa mtu bila 4wheel na dif lock kuna sehem haupiti
 
Kabisa wala hujakosea
Scs kwa hili waangalie upyaa vinginevyo american truck lazima lichuje,
hii alaska truck naona kwenye upande wa graphics iko njema sana pia wameongeza
really damage
taili kupata pancha
, dereva kushuka nje ya gari kisha anatafuta msosi
,hali mbaya ya hewa

Ambapo vitu vyoote hivi scs bado hawajaongeza kwenye game zao
 
Mudrunner hili game ninalo ila ni crack
Nimejalibu kulifuatilia hapo steam kwenye hii offer ila naona wao hawajashusha bei yao
Alafu kitu kilichonifulahisha zaidi dlc zao ni bureeeeee
Sasa kwa nini nisinunue?
 
Kabisa wala hujakosea
Scs kwa hili waangalie upyaa vinginevyo american truck lazima lichuje,
hii alaska truck naona kwenye upande wa graphics iko njema sana pia wameongeza
really damage
taili kupata pancha
, dereva kushuka nje ya gari kisha anatafuta msosi
,hali mbaya ya hewa

Ambapo vitu vyoote hivi scs bado hawajaongeza kwenye game zao
Ngoja tuone ushindan wao japo niliona YouTube Euro truck simulator 3 sijui inatoka lin? Nayo ipo advance kwenye graphics.

Sema hao jamaa wa ALASKAN TRUCK wapo vizur had pancha et dreva unashuka kwenye gar unapiga jek unabadir tire mwenyewe
 
K camp umeiona hii lakini [emoji115][emoji115][emoji115]
 
Back
Top Bottom