Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kwawale tunaocheza Iberian in new light naomba tunyooshe mkono
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
habari za jioni madereva
najua mtakuwa mmechoka haswa sababu ya majukumu ya hapa na pale yote hii sababu ya kuutafuta mkate wa kila siku.

kwa heshima ya dhati naomba niitambulishe leo tarehe 13/4/2021 ramani iliyotengenezwa na kijana mwenzetu toka hapahapa tanzania.

ramani hii imetengenezwa kwa aslimia 100 ni mazingira ya hapa tz haswa nyanda za juu kusini
hivyo imeifanya ramani hii inoge na kupendeza zaidi

hivyo nikaona si mbaya niitambulishe hapa
kwa yeyote anae ihitaji link iko hapa chini 👇





































 
Mzee umetisha sana....big up sana mkuu...mpka tutafka tu....so link ikwap tupakue mzgo mkuu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Promod imetoka na nikwawale 2nao cheza ets2 yenye Iberian ikiwa na new light
 
Hahahahhhahahaa
Wazee wa promods utàwajua tu
Maeneo yao ya kujivinjali ni iceland
Au krekenes norway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…