[emoji34][emoji34]Nilijua uzi una Mambo ya maana kumbe magemu?
Tsh 20000 no discount
We ndo agent wao au ndo kareem mwenyew? Nipeni trial basiTsh 20000 no discount
Upoo
Nilipambana sana mpaka map zote zikakaa bila ku crash game langu ila huwa linachelewa kufungua profile maana ina map zote isipokuwa southern region kwasababu natumia free version ya roex extend
Najua mzee ni shughuli...ila mbona jazzykaty anapack kali sana kuanzia cargo tofaut tofaut mpaka bus pack zakibabe kushinda hizi za bongo..alichofanya mwamba kaweka donation link..unapakua mzgo bure..ataeguswa anapress donation fresh...k camp
kutengeneza mod si shughuli ndogo kama tunavyodhani
[emoji120][emoji120]
Souther region map moja tamu sana...ww unatakiwa ucheze mariomap...unatembea route masaaa 50..yani humo unatoka bara moja kwenda lingine..[emoji3][emoji3] nilitokaga Russia mpaka US mzee hatar huko barabarani..humo ndan mpaka Africa ndani...Nilipambana sana mpaka map zote zikakaa bila ku crash game langu ila huwa linachelewa kufungua profile maana ina map zote isipokuwa southern region kwasababu natumia free version ya roex extend
Naiomba hii mariomap bossSouther region map moja tamu sana...ww unatakiwa ucheze mariomap...unatembea route masaaa 50..yani humo unatoka bara moja kwenda lingine..[emoji3][emoji3] nilitokaga Russia mpaka US mzee hatar huko barabarani..humo ndan mpaka Africa ndani...
Wacha nishushe grand utopia hapa nimemis route za milimani
🤔Souther region map moja tamu sana...ww unatakiwa ucheze mariomap...unatembea route masaaa 50..yani humo unatoka bara moja kwenda lingine..[emoji3][emoji3] nilitokaga Russia mpaka US mzee hatar huko barabarani..humo ndan mpaka Africa ndani...
Wacha nishushe grand utopia hapa nimemis route za milimani
processor 2.4 GHZWakuu samahani, ili nicheze game hilo ninahitaji specifications zipi za PC?
Natanguliza shukrani
Asante mkuuprocessor 2.4 GHZ
RAM gb4 ila ukiwa na gb6 utapendeza zaidi
Vipi kuhusu graphic card.processor 2.4 GHZ
RAM gb4 ila ukiwa na gb6 utapendeza zaidi