Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

We ndo agent wao au ndo kareem mwenyew? Nipeni trial basi

ETS 2 TANZANIA _ Facebook — Mozilla Firefox 4_30_2021 6_27_31 AM.png
 
modfication nilizowahi kutengeneza nilizigawa bure
kila mmja wenu ni shahidi humu ndani
 
k camp
kutengeneza mod si shughuli ndogo kama tunavyodhani

[emoji120][emoji120]
Najua mzee ni shughuli...ila mbona jazzykaty anapack kali sana kuanzia cargo tofaut tofaut mpaka bus pack zakibabe kushinda hizi za bongo..alichofanya mwamba kaweka donation link..unapakua mzgo bure..ataeguswa anapress donation fresh...

Jamaaa anapata hela sana...kupitia donation kuliko kuuza kwa mtu mmoja mmoja..

Sasa kareem atapata watz wangap watalipa hyo 20k? Kwann asiweke mods kwenye site za ets 2 mods.kisha akaweka link ya donation kama skrill au paypal..atapata donation dunia nzima kuliko hizo 20k za bongo...huu ni ushauri tu...
 
Nilipambana sana mpaka map zote zikakaa bila ku crash game langu ila huwa linachelewa kufungua profile maana ina map zote isipokuwa southern region kwasababu natumia free version ya roex extend
Souther region map moja tamu sana...ww unatakiwa ucheze mariomap...unatembea route masaaa 50..yani humo unatoka bara moja kwenda lingine..[emoji3][emoji3] nilitokaga Russia mpaka US mzee hatar huko barabarani..humo ndan mpaka Africa ndani...

Wacha nishushe grand utopia hapa nimemis route za milimani
 
Naiomba hii mariomap boss
 
Wakuu samahani, ili nicheze game hilo ninahitaji specifications zipi za PC?

Natanguliza shukrani
 
Souther region map moja tamu sana...ww unatakiwa ucheze mariomap...unatembea route masaaa 50..yani humo unatoka bara moja kwenda lingine..[emoji3][emoji3] nilitokaga Russia mpaka US mzee hatar huko barabarani..humo ndan mpaka Africa ndani...

Wacha nishushe grand utopia hapa nimemis route za milimani
🤔
 
Back
Top Bottom