Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Inasupport current version (1.47) au ni only 46...?
 
wakuu naomba kupata ETS2 ambayo itakubali kucheza bila ya kuscratch kwenye hyo pc yenye specification hzo hapo
 
Kaka nawezaje ku update game niko na version ya 1.18.3s nataka iwe na version ya sasa
 
Kaka nawezaje ku update game niko na version ya 1.18.3s nataka iwe na version ya sasa
Mzeiya kama game uliyoinstall ni cracked means haujainunua kutoka steam ... hauwezi kui-update kwenda version ya sasa.....inabidi udownload version mpya 1.48 ndio uinstall upya
 
Mashine yake itaweza himili 1.48 kwanza kabla hajapoteza MB zake
Dah huo nao ni msala mwingine .....mi lilinishinda nilikua napenda kuset high graphics ili nione details za dashboard na shadow za miti njiani ila nikagonga mwamba game inakua speed ya kobe....nikanyoosha mikono🙌 sina hamu nalo
 
Dah huo nao ni msala mwingine .....mi lilinishinda nilikua napenda kuset high graphics ili nione details za dashboard na shadow za miti njiani ila nikagonga mwamba game inakua speed ya kobe....nikanyoosha mikono[emoji119] sina hamu nalo
Ndo maana nikampa tahadhari mapema asije poteza Gb zake bure
 
Naona wana

Naona wanauza $19 na upuuzi unalipia vipi hizo dolali
1)Mwongozo wa kununua game through steam tulishautoa tangu hapo awali na si lazima ununue game Kwa dollar 19 Kuna kipindi Cha offer huwa tunanunua Kwa dollar 4.99tu

2)hii latest version (1.48)Kwa Hali ilivyo Kwa Sasa kama unafahamu mashine (computer) yako ina specifications ndogo kamwe huwezi kucheza na kufulahia game hii ni kutokana na mabadiliko ya graphics yaliyofanyika toka tulipoingia v 1.40 hadi Leo hii 1.48

3) njia za kulipata game ni lahisi sana tofauti na wengine wanavyodhani
(A) download game crack
Hapo unaingia kwenye website za kudownload game kama vile
www.ocean of game.com
www.piratebay.com
www.fitgirl.com
www.1337x.to
(B) nunua game kupitia steam
Nadhani wengi hatufahamu Wala hatuielewi steam na wengineo hawadahamu kabisaaa neno steam na si ajabu ikawa ni mala yako ya kwanza kuisikia steam
Kulingana na mabadiliko yaliyofanyika tangu uanzishwaji wa game hadi saa hii hawa jamaa waliamua kuingia ktk huu mfumo wa uuzaji wa game kupitia website ya steam
Sasa hii steam imebeba kila aina ya game na baadhi ya hizo game ndo hii euro truck simulator 2
Mfumo wa malipo ili uipate hii game si mgumu sana ni njia lahisi na yenye usalama sana na ukishalipia tu game yako itakuwa inapata kila aina ya update itskayofanyika na wamiliki wa game.
 
nimejiunga steam kitambo kidgo becz of account ya world of trucks...Ila naona ni changamoto kidgo ku upload profile yang ya ETS na ATS online (cloud)...Unawez niambia nakwama ku upload kwasababu natumia cracks au ni configurations tuu za network ya PC ninayoitumia etc...Msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…